Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa
Sasa sabaya atatoka lini jela ahamie chadema naamini atakuwa moto Sana kuibomoa ccm
Mfupa uliomshinda fisi nyau atauweza?
Yaani chadema bado mnategemea kufanikiwa kwa kuchukua wanaotoka ccm!? Kwani hamuwezi kujenga chama chenu toka kwenye msingi!?
Haki sijui mtakua lini!!?
 
sab.jpg
 
Mbona wanamuwahisha mapema Sana mahakamani kwann asikae kama miaka 6 hivi kama wazee wa escrow au uhamsho kusubiria ushahidi kukamilika ndipo aanze pelekwa mahakamani.Hii sio dabo standard kweli
Hata mimi nimewaza hivyo mkuu, angekaa japo hata miaka nane ndio uchunguzi ukamilike
 
Huyu baunsa wake mbona anachechemea au kakutana na mabaunsa.

Screenshot_20210618_115443.jpg
 
Mbona wanamuwahisha mapema Sana mahakamani kwann asikae kama miaka 6 hivi kama wazee wa escrow au uhamsho kusubiria ushahidi kukamilika ndipo aanze pelekwa mahakamani.Hii sio dabo standard kweli
Naona imepigwa Tarehe tena "kwa kile kinachoitwa ushahidi haujakamilika" mkishindwa Kumtia Hatiani SABAYA Takukuru mtakuwa mmejichafua sana mtamlipa Fidia Huyo Jambazi Lengai ole Sabaya
 
Naona imepigwa Tarehe tena "kwa kile kinachoitwa ushahidi haujakamilika" mkishindwa Kumtia Hatiani SABAYA Takukuru mtakuwa mmejichafua sana mtamlipa Fidia Huyo Jambazi Lengai ole Sabaya
Yule ushahidi wake sio wa kutafuta kwa torch
 
Naona imepigwa Tarehe tena "kwa kile kinachoitwa ushahidi haujakamilika" mkishindwa Kumtia Hatiani SABAYA Takukuru mtakuwa mmejichafua sana mtamlipa Fidia Huyo Jambazi Lengai ole Sabaya
Patamu hapo wasogeze hadi novemba ili kesi inoge zaidi
 
Dogo akitanya masikhara ataishia mwisho wa Zombe...
 
Tunacho taka vyombo vyetu vifanye kazi kwa weledi, kamwe visikubali kuendeshwa ama kusukumwa na maneno ya vijiweni, majungu, fitina na chuki za kisiasa.

Sheria zizingatiwe, tusiongozwe na hisia au dhana.
Sawa kabisa, ushahidi ukikosekana watamuachia.
 
Sabaya kwanza unaweza kukuta hakuwa rumande!

Na atawashinda mapema tu! Au ataambiwa alipe faini kwa DPP kama kina SETH
Yaani utumie silaha ulipishwe faini? Kumbuka hapo ni chuga, bado moshi ambapo ni zaidi ya chuga
 
Back
Top Bottom