Ni dalili ya makosa kufutwa na kodi zetu kumlipa fidiaMbona wanamuwahisha mapema Sana mahakamani kwann asikae kama miaka 6 hivi kama wazee wa escrow au uhamsho kusubiria ushahidi kukamilika ndipo aanze pelekwa mahakamani.
Ile sheria ya uhujumu uchumi inapotungwa nadhani ukawa walitoka nje ,ccm achana iwatafune ..nammisi lisu aliwahi sema waziri wa ulinzi kati ya nchi ya Ghana au kamerun ,alisimamia kutungwa kwasheria ya uchochezi ,MTU wakwanza kutafunwa nasheria hiyo alikua waziri mwenyewe msimamizi....ccm hoyeeeeeAdhabu kabla ya hukumu!
ha ha ha - chaka la wezi na wanyang'anyi.Ccm hawana akili mbovu kama chadema kwamba wanaingilia mambo yaliyoko mahakamani
Si ndo hapo MkuuMataga sabaya kukaa tu wiki kelele kibao.Vipi Waliobambikwa wakakaa miaka 6 au 8 je.
Jela ni yetu sote
Atalipa Faini kwa DPP kama ilivyo kwa Singasinga alafu nyie bavicha mnabaki mmekenua mimeno tuNi dalili ya makosa kufutwa na kodi zetu kumlipa fidia
Nyakati hizi ni za utawala wa sheriaMbona wanamuwahisha mapema Sana mahakamani kwann asikae kama miaka 6 hivi kama wazee wa escrow au uhamsho kusubiria ushahidi kukamilika ndipo aanze pelekwa mahakamani.
Kuna nyapara anamhudumia.Mbona kama anazidi kunawiri, anatokea lockup kweli huyu!
Walidhani ni untouchableMataga sabaya kukaa tu wiki kelele kibao.Vipi Waliobambikwa wakakaa miaka 6 au 8 je.
Jela ni yetu sote
Una maana Sabaya analiwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wajinga ndio waliwao
Sasa hivi mambo ni safi eti ee?Nyakati hizi ni za utawala wa sheria
Hapana, wewe ndio unaliwaUna maana Sabaya analiwa?
Kama mnaweza kuingilia mambo ya Mungu ya kuchukua uhai wa binadamu sembuse kuingilia mahakama.Ccm hawana akili mbovu kama chadema kwamba wanaingilia mambo yaliyoko mahakamani
Please save this comment [emoji847]Nyakati hizi ni za utawala wa sheria
Wanampa ugali na maharage?Hiyo ni dharau kwa umma.Apewe saruji atafune.ππππHapa ndo kuna swali "Sabaya ambaye Suti aliyoivaa leo inaonekana kumpwaya".Ndugu mleta mada ungesema 'amekonda' na sio "suti Kupwaya". Labda tu walio karibu nae wamshauri hayazoee tu maisha ya Ugali kwa Maharage maana Hakuna namna.
At least 4 nowPlease save this comment [emoji847]
Hivi kwanini anaficha uso huyu mtu? kumbe ule ujasiri aliokuwa nao haukuwa wake, ulikuwa wa plastic, leo anazidiwa ujanja na macho ya watu anaona aibu kama mtoto wa kike.
For the first timeπππilikuaje kuaje ukapigwa BAN ? [emoji28]