Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023
we unaweza kukaa mbele kanisan kumsikiliza mtu mnafiki akulishe chakula cha roho!
 
Ilikuwa mapema sana kumpa uongozi wa nchi mwanamke! Mwanamke uwa hajali chochote linapofikia suala la maslahi yake! Hata kama ni kusambaratisha familia yake na ndoa yake. Uyu mama ameshapokea takrima ya muarabu hawezi kusikia chochote tena hata kama ni kuuza kitanda anacholalia yeye na mumewe.
Porojo za mitandaoni.
 
Usilembe lugha. Mwambie Rais kuwa hii rangi ni nyeusi na si nyeupe.

Unakuwa umemsaidia zaidi kuliko kumpaka mafuta kwa mgonho wa chupa.
Shoo ni kama amejitetea kwanini wao hawawezi kutoa msimamo.
maana amesema kuwa walishaonana na rais na kumpatia maoni yao.
 
Kw
Wanaleta ishu za martin luther aliyejimegua kutoka ukatoliki hata ktk myakati hizi ngumu za msukosuko wa bandsri?
Kwa hiyo ulitaka kama kanisa tusemeje ? Kumbuka amesema mkuu wakanisa letu walikwenda ofisini kwake"ikulu" kutoa maoni ya kinachoendelea kuhusu Dp world. Tusubiri majibu kanisa hilli halijawahi kukunja kucha mikono na karamu zake kwenye kuonya na kukemea. Kanisa limeonya
 
Japokua mimi mwenyewe nimrutheran ila huu ujinga sikubaliani nao
Wasikupotoshe vipanga wa JF, hakuna mahali Askofu Shoo amesema anaukubali mkataba wa DP.
Shoo amesema wanaunga mkono uwekezaji wa bandari na wao alishawaita kutoa maoni yao bali yuko kimya hivyo atasema tuu na atakapojibu ndio watajua maoni yao yamefanyiwa kazi au laa.
Watu wasichukulie uzungumzaji wa Shoo kiungwana na hekima kama ndio kukubali mkataba mbovu wakati kasema hawakubali kuuzwa nchi
 
Hajasema anaunga mkono uwekezaji wa bandari kama unavyo mkisha Maneno kasema anaunga mkono uwekezaji full stop
 
Back
Top Bottom