Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023
Huu mkataba wa DP World utakuwa una matatizo ndio maana hata Rais anakosa courage ya kuusifia waziwazi.

Naona kama anaendelea kujificha ingawa alipata jukwaa zuuri ya kumaliza utata uliopo lakini hakufanya hivyo!!!.
Hiyo ni kazi ya Prof Mbarawa na wanasheria wa wizara na wameishafanya sana mpaka muda huu.
 
Well done baba askofu, huyu sasa ndio kiongozi sio wale wazee wa mtaguso wa kwanza wa Nicea
 
AMeunga Mkono uwekezaji in general au Specific wa DPW?

Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.

Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa hilo.

View attachment 2724056

VIDEO:
View attachment 2724093

Tofautisha kati ya Kuunga Mkono Uwekezaji na kupinga aina ya Mkataba wa Uwekezaji
 
Msikilize hapa short clip yeye mwenyewe.
Hawa chawa wamejipanga kupotosha watu.

Mbele Ya Rais Samia, Askofu Shoo Azungumzia Sakata la Bandari. 'Jambo Hili Linahitaji Hekima Kubwa'​


View: https://youtu.be/qJvAMuLCH3Y

Hakuna mahali askofu Shoo amesema wanaunga mkono mkataba wa Dpw. Kasema wanaungamkono uwekezaji. Kuna watu wanajaribu kupotosha jamii hapa, kwamba kkkt wameunga mkono mkataba. Sio kweli. Enyi watu, sikilizeni hotuba ya askofu wenyewe.
 
That’s may be true . The church has a long history of war and crime . Ila bora kuwa mpagani sio kuwa KKKT . Kanisa limeundwa kihuni . History yake yakihuni , SADAKA NDO ZINA LISHA FAMILIA YA MKE ,WATOTO , MICHEPUKO na Ukoo mzima wa askofu , mchungaji na washirika . HIVI UNAENDA CHURCH KUPIGWA PESA MMLISHE MWINGINE na familia yake . Na worse that wachungaji Na askofu hata walipo toka aijulikani ni kupeana tu uchungaji kupiga pesa . Bora MAKANISA YA KILOKOLE SIO KKKT MAANA AMNA TOFAUTI . Both ni vikundi ya kihuni . Shule amna


Hivi unaongea nini na pastor wa kkkt ?
🤣🤣🤣
Hawa si walipigana konde wakigombea sadaka na viwanja?
Kuna yule kimaro walitaka hadi kumfukuza kanisani,malasusa akamwonea huruma?
Wataongea nn kwa Roma?
Mtoto ulomzaa na kumlea hawezi kusumbua👌
 
Back
Top Bottom