Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023
Baada ya Mama Samia ni zamu ya Warutheri wana utu sana.
 
Mnabweka mkiwa wapi enyi WAPUMBAVU.

Endeleeni kushabikia ujinga,wanaojielewa hawataki ujinga kwenye Mali ya NCHI.
SHITHOLE.
Mnalazimishaje watu kiasi HICHO.
Kwani ni lazima kumlazimisha mtu kula WALI KUKU wakati yeye anaona UGALI MLENDA kwake ndo bafanabafana.
Mwache mpaka atakapoona Sasa ni MDA mwafaka kwake kula kileeeee.
Ukimlazimisha,ujue eidha ile WALI KUKU Kuna kitu unapata baada ya yule ndugu kununua na kula.
Wamekataa acha,kwani kinachowawasha ni Nini?.

Acheni ujinga,mmeelimishwa ili mpate kujitambua.
Yamkini hata alama mlizonazo kwenye VYETI VYENU mlizinunua baadhi yenu.
Nipo zangu,Kona ya Grosaly chimbo nipo NZII!.
POVU LUKSA.
 
Anastaafu mwaka huu huyo!

Hapo alipo anatafuta namna ya kupata ugali akistaaafu
 
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.

Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha.
Uzii huu upokelewe JF Check tafadhali!
 
Umemnukuu vibaya. Kasema Kanisa lina imani na Rais na linaunga mkono katika juhudi za serikali za kuendeleza uchumi. kwa DP World kasema walimwendea Rais na akawapokea na kuwasikiliza na akawaahidi kufanyia kazi maoni yao so wanamwamini bado kuwa atayafanyia kazi.
Safi mkuu!

Hawa wavaa kobaz walishaanza kupotosha
 
Tafadhali rejea

 
Madhehebu ya Dini yana Katiba zao hivyo kila jambo hulitazama kulingana na Katiba zao zinavyosema

Nampongeza Sana Askofu mkuu Dr kwa Kusoma alama za nyakati

Wataendaje Wasipopelekwa?!

Mungu ni mwema wakati wote 😄
Jamani askofu kasema anaunga mkono uwekezaji.

Hajasema uwekezaji gani ila watu mnamlisha maneno.

Pia mapendekezo yao bado hayajafanyiwa kazi.yasipofanyiwa kazi lazima waraka utoke
 
Wewe ni mpotoshaji mkuu!

Amesema...."Tunaunga mkono uwekezaji wenye Tija"
Na sio huu ambao tulikwisha kuja kukuona na kukueleza dosari zake!
Nilijua Kuna namna upotoshaji umefanyika!
 
Huu mkataba wa DP World utakuwa una matatizo ndio maana hata Rais anakosa courage ya kuusifia waziwazi.

Naona kama anaendelea kujificha ingawa alipata jukwaa zuuri ya kumaliza utata uliopo lakini hakufanya hivyo!!!.
Hakuna mwenye ubavu wa kuligawa taifa
 
Back
Top Bottom