Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023
Hata wakatoliki sio wote wafuasi wa Kitima na Dr Slaa...
Interesting
Sababu ya udhaifu wenu ndiyo maana hata kusoma mmeshindwa mmebaki kumtaja Dr. Kitima

Kwa taarifa yako tu ni kwamba, lile tamko ni la TEC, na Wakatoliki wote tunaliunga mkono, na huyo Askofu Shoo, mnajibanza tu kutaka pa kujifichia, ila alichokiongea ni kilekile, "UWEKEZAJI WENYE TIJA".
Mmashangaza sana, how comes ninyi mnuunge mkono "Ugawaji Holela" badala ya "Uwekezaji Wenye Tija".
 
Nadhani ndiyo maana Rais alienda kuhudhuria maadhimisho! Alikuwa amehakikishiwa kusifiwa!
Hivi ndivyo Wakristo tunavyochekwa!
Amesema...."Tunaunga mkono uwekezaji wenye Tija"
Na sio huu ambao tulikwisha kuja kukuona na kukueleza dosari zake
 
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.


Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha.
Serikali inafanya divide and rule; well and good, twende
 
shoo asituletee ujinga mimi kama mlutheli USHARIKA wa SINZA , naunga mkono waraka wa WAROMA
 
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.


Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha.
Kwahyo apo kkkt hawachanganyi dini na siasa sio??
 
Moderators wanaoruhusu nyuzi hizi kutoka ndio wanakosea futeni upotoshaji huu mjijengee heshima Askofu Shoo hajasema hayo
 

Attachments

  • IMG_20230821_142254_1.jpg
    IMG_20230821_142254_1.jpg
    432.8 KB · Views: 1
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.


Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha.
Hivi huyu Shoo amekula mlungula au amekuwaje? Ameunga mkataba kama ulivyo au ameunga nusunusu? Hawa KKKT ni wapuuzi hata kuliko BAKWATA. Wapuuzi na wachumiatumbo wakubwa! Mungu anawaona na atawalaani milele!
 
Safi sana,tena amesema viongozi wa dini walienda kukutana na Rais na wakatoa maoni Yao

Swali Hili.la TEC limetoka wapi? Upuuzi wa kujifanya wao ni spesho sana hapa Tanzania
Hii Ngeta ambayo mmepigwa kwenye hili Hamtoki....ndio uzuri wa shule...
 
Na mwenyewe bado amesisitiza kukaa kimya, mybe kimya huwa ni kizuri kuliko kuongea haswa ikiwa hoja zimekuishia.
Hongera rais, naamini hiki swala litamalizika na kutuacha salama.
Ingawa majeraha ya hapa na pale yatatupata ila hatutakosa kuwa wazima wa uhai.
 
Ingawa Shoo ni Askofu wa CHADEMA kwenye hili kaupiga mwingi na kuonyesha uzalendo. Nchi kwanza. Kaziepuka hila za TEC
 
Back
Top Bottom