Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023
Kipindi cha pili jamaa wanajifunga wenyewe hapa katika uwanja wa uhuru, moja moja sasa, mtanange ni mkali sana hapa katika dimba la uwanja wa uhuru kwako mwalimu kashasha😁😁
 
Kipimo kidogo kabisa Cha hekima ni utulivu na kukaa kimya.

Na Dr Shoo kaongeza ukweli,Moja ya Sifa kubwa kabisa ya Rais Samia ni hekima yake la sivyo angekuwa kama yule mwingine watu wangekuwa wametumia zamani sana.

View: https://twitter.com/eastafricatv/status/1693580501250916471?t=2PIFPtBnjGMVuiS9J6F8oA&s=19

My Take
Kama Mungu alipanga Samia kuwa Rais hakuna wa kumtoa Hadi 2030,Mungu mwenyewe ndio atajua atakavyomvusha.

View: https://twitter.com/eastafricatv/status/1693576202236158320?t=ZrTVrGKuitpcG7PQR8oulw&s=19
 
Mahoni yasio julikana ni sawa na zero. Kwa watanganyika.
TEC wameweka maoni kwa waumini wao na si kwa watanganyika woooote.
Na ndio maana walaka huu utasomwa makanisani kwa wiki 6. Ndio kwanza tunawiki 1.
Asante
 
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.

Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa hilo.
View attachment 2724056
Usikurupuke,hujamuelewa Askofu wewe. Wamempa Mh. rais mtihani mgumu kuliko unavyofikiri.
 
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.

Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha wakati wa maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa hilo.
View attachment 2724056
Subiri siku ipinduke ndo tutaujua ukweli.

Je hii taarifa NAPE atairuhusu media waitangaze nchi nzima au?
 
Back
Top Bottom