Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023
Acha kutukana wakatoliki wenzio utapata dhambi bure, amini cha wenzako ili na wao waamini cha kwako.
Nitawaaminije hawa maboya wanaotetea wizi wa rasilimali za taifa? Wewe huna uchungu na rasilimali za taifa? Kuwa mzalendo mkuu. Au wewe sio raia wa nchi hii?
 
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.


Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha.
Naona mnawaliwaza maulamaa wssiofahamu maana ya waraka
 
Watanganyika tujikite kwenye aina ya mikataba tunayoingia kama nchi. Tukishaanza kusapoti na kupinga mikataba kwa maono ya viongozi wa dini tutapoteza umakini.
 
Mimi ni KKKT kuanzia UBUNGO hata kipindi usharika wa SINZA ujaanzishwa pale THB sinza pale KUMEKUCHA nikuwepo
viongozi wetu wa kkkt semeni ukweli
 
Nitawaaminije hawa maboya wanaotetea wizi wa rasilimali za taifa? Wewe huna uchungu na rasilimali za taifa? Kuwa mzalendo mkuu. Au wewe sio raia wa nchi hii?
Kua mzalendo ni kulataa uwekezaji au kushabikia vikundi vinavyo pinga bila kutupa mkataba mbadala wa huo wanao upinga.
 
Ndugu zetu KKKT wameshindwa kuwa straight leo. Dr Shoo kazunguka saaana kujieleza [emoji1787]
1692617464847.png
 
Back
Top Bottom