Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023
Wanataka rais ajaye awe mlutheri. Huko ni kujipendekeza. TEC wameshamaliza kila kitu hao wengine hata wakiunga au kupinga hawana impact ni furahisha genge tu
 
Wanaleta ishu za martin luther aliyejimegua kutoka ukatoliki hata ktk myakati hizi ngumu za msukosuko wa bandsri?
Mama kasema wazi "hakuna mwenye ubavu". Kama mnabisha endeleeni kumjaribu tu.
 
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.

Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha.
Kwa hiyo naye kaingiza siasa kanisani, mbele ya rais? Au inazuiliwa kwa yule anayesema hapana?
 
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.

Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha.
watu kwa kugeuza kauli. Acha kumlisha maneno askofu
 
Samia anasema hakuna mwenye ubavu wa kuuza Nchi.
 
Nataka kuoa KKKT hii ndio Tanzania ninayoijua mimi.
 
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.

Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha.
Labda kama anawang'ong'a
 
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.

Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha.
Umemnukuu vibaya. Kasema Kanisa lina imani na Rais na linaunga mkono katika juhudi za serikali za kuendeleza uchumi. kwa DP World kasema walimwendea Rais na akawapokea na kuwasikiliza na akawaahidi kufanyia kazi maoni yao so wanamwamini bado kuwa atayafanyia kazi.
 
Huyu Askofu anajitambua achana na wale wachumia tumbo.
 
Weka alipotaja neno DP world, Mimi nimesikia kanisa linaunga mkono uwekezsji, hata hivyo Kuna yeyote aliyesema anapinga uwekezsji?
 
Back
Top Bottom