TEC wanauwezo mkubwa kuliko hawa.Sasa kabla hajatoa majibu Kwanini kuna sheria zilianza kubadilishwa ili ziendane na mkatab ndo swali walilouliza so ni logic ndogo tu kuwa kule kuanza kubadlisha baadhi ya sheria kunaonyeaha kuwa ametupitlia mbali ushauri wao
NB: SIKO UPANDE WOWOTE ILA NATAZAMA LOGIC & REASONING