Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023
Ni jambo jema

Yuda Iskarioti angeendelea kusubiri labda Ukombozi ungechelewa sana

Yesu alisema " Baba ikiwezekana kikombe Hiki kiniepuke lakin si kama nitakavyo mimi bali Mapenzi yako yatimizwe. Roho I radhi lakin mwili ni Dhaifu"
Kwa maoni yako unadhani walikwenda kumpa rais amri ya kutekeleza mara moja
 
Ndugu zetu KKKT wameshindwa kuwa straight leo. Dr Shoo kazunguka saaana kujieleza [emoji1787]
 
kwani rais aliwambia anatoa majibu lini?
Sasa kabla hajatoa majibu Kwanini kuna sheria zilianza kubadilishwa ili ziendane na mkatab ndo swali walilouliza so ni logic ndogo tu kuwa kule kuanza kubadlisha baadhi ya sheria kunaonyeaha kuwa ametupitlia mbali ushauri wao

NB: SIKO UPANDE WOWOTE ILA NATAZAMA LOGIC & REASONING
 
Yalikuwa mazungumzo baina yao na hakuna upande ulioweka wazi.
Basi tusipigane porojo, hatuwei kusema hapa wamekataliwa wakati hatujuwi walichoongea.

Nilivyomwelewa Shayo kuwa walitoa ushauri na mama kaahidi kuwapa Wataalam wake wa ufanyie kazi, binafsi naamini umefanyiwa kazi.
 
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limetoa msimamo wa kuunga mkono Uwekezaji wa Bandari.

Mkuu wa Kanisa hilo, Askofu FREDRICK SHOO ametoa msimamo huo leo Agosti 21, 2023 Mkoani Arusha.
Wewe ni mpotoshaji mkuu!

Amesema...."Tunaunga mkono uwekezaji wenye Tija"
Na sio huu ambao tulikwisha kuja kukuona na kukueleza dosari zake!
 
Naona DP World Imepigwa Live na Kiwete kapigwa Live bila chenga
 
Sasa kabla hajatoa majibu Kwanini kuna sheria zilianza kubadilishwa ili ziendane na mkatab ndo swali walilouliza so ni logic ndogo tu kuwa kule kuanza kubadlisha baadhi ya sheria kunaonyeaha kuwa ametupitlia mbali ushauri wao
Umedanganywa ukadanganyika.

Sheria ipi imebadilishwa iendane na mkataba? Mkataba upi unauongelea?
 
Sasa kabla hajatoa majibu Kwanini kuna sheria zilianza kubadilishwa ili ziendane na mkatab ndo swali walilouliza so ni logic ndogo tu kuwa kule kuanza kubadlisha baadhi ya sheria kunaonyeaha kuwa ametupitlia mbali ushauri wao
Kwa hiyo?
 
Back
Top Bottom