mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
unaposema dini fulani imeua unakosea sana you are wrong.Hawa katoliki walifuta na kuondoa vitabu zaidi ya 14 kwenye biblia na haikuishia hapo walipitisha adhabu kali kwa mtu yoyote ambaye sio padri kumiliki biblia usisahau walishiriki kwenye mauaji ya mamilioni ya watu huko rwanda mauaji ya kimbari
Yani padri au askofu katoliki usimwami ni spy wa roma na yote haya ni kwasababu ya teknolojia itakayo tumika katika mfumo wa bandari na mizigo haita ingia bure zile kampuni uchwara za clearing and fowarding zitakufa zote
Tech wamezingua sana