Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana mbuzi wao fulani hivi mtamu sana.Sitishwi na wa
Pumbavu wanaoitwa wakatoliki
wewe unaumwa uanhitaji tiba ya haraka muda siyo mrefu utaokota makopo na kivua nguo…hawa ndio Wakristo pekee Tanzania 🇹🇿! Hao wengine ni genge la wahuni waliosababisha vita na migogoro yote Duniani!
👉🏾 Vita kuu ya kwanza na ya pili ya Dunia, chanzo ni wao!
👉🏾 Mauaji ya kimbari Rwanda, Namibia, chanzo ni wao!
👉🏾 Vita inayoendelea Congo, CAR, na sehemu nyengine Duniani, chanzo ni hao hao wanaojiita «Waroma» wakati hawana uraia wa Italy! 😁🚮🚮🚮
👉
TEC kwenye waraka wamesema hawaoni ushauri wao ukizingatiwa.Je TEC wamekosa subira?
Acha kiherehre, mbona wamemueleza live kuhusiana na mkataba wa DP World na wameongeza na mambo mengine yakiwemo makaa ya maweJe TEC wamekosa subira?
kwa hiyo wamekosa subiraTEC kwenye waraka wamesema hawaoni ushauri wao ukizingatiwa.
Ushauri wao ulikuwa ni upi?TEC kwenye waraka wamesema hawaoni ushauri wao ukizingatiwa.
Je TEC wamekosa subira?
Wako live- wamueleza live kwamba?Acha kiherehre, mbona wamemueleza live kuhusiana na mkataba wa TEC na wameongeza na mambo mengine yakiwemo makaa ya mawe
SIRIUshauri wao ulikuwa ni upi?
kwani rais aliwambia anatoa majibu lini?Kumbe waraka wa TEC hujausoma bhasi sio kosa lako..Kwa sababu wamesema wamekutana naye na wamempa Mapendekezo na ushauri lakini wamesema ni muda sasa na haujafanyiwa kazi na wameona sheria zimeanza kubadilishwa na ndo kisa kilichowafnya wao kuja
Wameshauri sana wakafungiwa milango,hadi kulileta kwa waumini ni baada ya kupuuzwaJe TEC wamekosa subira?
Yalikuwa mazungumzo baina yao na hakuna upande ulioweka wazi.Ushauri wao ulikuwa ni upi?
Sijui atasemaje aiseeNgoja tusikie matamko yake!