johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata mimi sijasema wako sahihi kwenye jambo gani 😂😂😂😂Jamani askofu kasema anaunga mkono uwekezaji.
Hajasema uwekezaji gani ila watu mnamlisha maneno.
Pia mapendekezo yao bado hayajafanyiwa kazi.yasipofanyiwa kazi lazima waraka utoke