Safi Rais wetu, tupo pamoja na Rais wetu.
Kamwe asikubali kuyumba wala kuyumbishwa na waraka za kinafiki, chapa kazi songs mbele wananchi tunamtegemea.
 
Bila kupepesa macho, Rais Samia ameongea haya kanisani KKKT leo

---https://twitter.com/millardayo/status/1693589311843684651?t=NzjjjyFL8-WdjMrZJaeVfQ&s=19

Niliamua kunyamaza na naendelea kunyamaza. Hakuna mwenye misuli ya kuligawa Taifa.
Misuli hiyo na mabavu anayo yeye mwenyewe kwa hiyo asiulize maswali ambayo yeye ndio mwenye majibu
 
Mbona maoni yao aliyopewa hajayafanyia kazi anaachia vitu vile vile kama ulivyo mkataba vikiendelea kutekelezwa? Kwanini aliamuru wananchi waliokuwa wakipinga kuwakamata na kuwafungulia kesi ya makosa yasiyokuwepo?
 
Kwa hiyo hapo ameunga mkono au amesisitiza waliyompelekea yatekelezwe?
 
Mbona unajitekenya mwenyewe na kucheka? Unadanganya unadhani kuwa utapata nafuu na waarabu wako? Hatutaki waarabu ni makatili.
Ona hapa wanavyoua wahamiaji.
 
Kuna cost kubwa kuwanenea uongo watumishi wa Mungu.
πŸ˜‚πŸ˜‚ mtumish wa Mungu unamjua ww ukimuona?? nyie ndo mnao waabudu viongoz wenu wadini.. kumbuka hao si malaika ni binadawamu kama wew.. njaa zinawauma kama ww inavyokuuma
 
Shoo kamwambia kihekima ili ajiongeze kuukataa huo mkataba wa kihuni au kurekebisha vipengele tata. Na akamkumbusha wanasiasa wasipende kuwaambia viongozi wa dini kuwa wanachanganya dini na siasa wakati wanatetea taifa lao.
 
Katiba inarekebishwa kesho, sema itabidi aachie diocese, sema diocese ina pipi zaidi ya kuwa mkuu
Ameshamaliza vipindi viwili vya Kikatiba, Dr Kimaro wa KKKT Kijitonyama ndiye ajaye na Katiba inarekebishwa kumpa Sifa za kugombea πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
 
Bila kupepesa macho, Rais Samia ameongea haya kanisani KKKT leo

---https://twitter.com/millardayo/status/1693589311843684651?t=NzjjjyFL8-WdjMrZJaeVfQ&s=19

Niliamua kunyamaza na naendelea kunyamaza. Hakuna mwenye misuli ya kuligawa Taifa.
Kama "...Hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa Taifa...." kwanini Dk Slaa, Mdude na Mwabhukusi walikamatwa na kubambikwa kesi ya uhaini usiokuwepo?
 
Huu mkataba wa DP World utakuwa una matatizo ndio maana hata Rais anakosa courage ya kuusifia waziwazi.

Naona kama anaendelea kujificha ingawa alipata jukwaa zuuri ya kumaliza utata uliopo lakini hakufanya hivyo!!!.
Hilo la kuukaa kimya ndo analolimudu ,baa ya kulikoroga ,kkk naona wanauma na kupuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…