Arusha: Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT - Agosti 21, 2023
Huu mkataba wa DP World utakuwa una matatizo ndio maana hata Rais anakosa courage ya kuusifia waziwazi.

Naona kama anaendelea kujificha ingawa alipata jukwaa zuuri ya kumaliza utata uliopo lakini hakufanya hivyo!!!.
Hujamuwelewa Rais wewee. Rais akizungumza maana yake amemaliza mjadala. Na yeye anataka mjadala uendelee Ili mwishowe dhamira halisi za wapingaji na waungaji mkono ubinafsishaji zijitokeze. Kuna watu bado hawajayatoa waliyonao.
 
Maneno na matamko kuongea ni rahisi akithubutu kufanya ujinga juu huu mkataba ndio atatambua waliopo kimya wapo upande gani,
Mbaya zaidi ikizingatiwa anataka kuziuza Bandari zote za Tanganyika kwa Dp World, na ikiwa za huko kwao Zanzibar zipo huru.
Wazanzibar watuingize mkataba feki kitovu cha uchumi wa nchi halafu tunyamaze huo upuuzi hatutaki, soon atakimbia nchi.
 
Wewe ni nani tuiache kauli ya Rais tuishike yako?!!!

Hajazaliwa wa kuiuza nchi hii...

#Nchi Kwanza Punda Afe Mzigo Ufike[emoji120][emoji120]
Wajinga ndio waliwao kumbuka Kikwete alivyowaambi wajinga kuhusu hela za escrow. Usiwe na ubongo wa sisimizi utaumia sana karne hii
 
Bila kupepesa macho, Rais Samia ameongea haya kanisani KKKT leo

---https://twitter.com/millardayo/status/1693589311843684651?t=NzjjjyFL8-WdjMrZJaeVfQ&s=19

Niliamua kunyamaza na naendelea kunyamaza. Hakuna mwenye misuli ya kuligawa Taifa.
Anabadili sheria ili haiuze nchi kwa waarabu kama keki halafu anasema hakuna wa kuligawa Taifa? kweli?
 
Usilembe lugha. Mwambie Rais kuwa hii rangi ni nyeusi na si nyeupe.

Unakuwa umemsaidia zaidi kuliko kumpaka mafuta kwa mgonho wa chupa.
Maoni ya Dr Shoo yamemweka mtegoni zaidi Samia. Kumbuka TEC wamesema walimwona Rais wakiwa na wenzao lakini maoni yao yakapuuzwa. Leo Shoo kasema walimpa maoni na bado Wana Imani atatekeleza. Huu ni mtego mkubwa Sana labda Samia aseme ameuchukua na ameufanyia kazi ili ionekane hakuwaogopa TEC Ila amechukua ushauri wa DR SHOO.
 
Samia au kikwete matamko yao wanatoa wakiwa kwenye matukio ya kisiasa au dini
Viongozi wa dini wamekutana na Rais wakatoa ushauri ila TEC kwa utashi wao wakakosa subira wakafanya maamuzi ya kibinafsi yanayotaka kuleta udini na kuligawa taifa.
 
Kwa ujumla msimamo wa Dr. Shoo ni mbaya zaidi na wa hatari sana kwa mkataba.
1. Wamewaweka njia panda Waislam waliokuwa wanaushambulia ukristo. Sasa itabidi wawashambulie wakatoliki na kuungana na walutheri
2. Wameacha room for negotiations lkn mkataba lazima utupwe kwa kurudishwa bungeni.
3. Wamemsaidia vizuri Rais sasa atakaposima atasema amepokea ushari wao.

Wameonesha ukomavu. Maake wangeungana na TEC wangeonekana wamekosa msimamo. Thesis vs antithesis tunaelekea sasa kwenye Synthesis.

Kijana wao atakuwa VP 2025 ili kujipanga na Urais 2030. JM kwaheri
Kijana gan uyo
 
Shoo kamwambia kihekima ili ajiongeze kuukataa huo mkataba wa kihuni au kurekebisha vipengele tata. Na akamkumbusha wanasiasa wasipende kuwaambia viongozi wa dini kuwa wanachanganya dini na siasa wakati wanatetea taifa lao.
Mimi naona shoo kampa kicho ndo akamjengea confidence naye akajifanya jemedari
 
[emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Tukana uwezavyo na upumbavu wako wa kurithi....

HAKUNA MWENYE MISULI YA KULIGAWA TAIFA HILI [emoji120]
Yeye ndio ataligawa taifa hili! Yatunze maneno yangu, Kwa mara ya kwanza katika taifa hili tunaweza kuingia kwenye vita za kidini kwasababu ya uwezo mdogo wa Kiongozi tulienae.
 
Askofu Shoo ujumbe umemfikia
Asante mtumishi wa Mungu

Eti hakuna mwenye ubavu wa kuligawa Taifa kwani haoni limegawanyika tayari..
Historia itaandikq watoto na wajukuu zenu watasoma huku wakiishi maisha kama digidigi
Mmelikoroga
Usinyooshee kidole wengine hili lako na Mzee wa pwani ile..
Tutaelewana
 
Tunaunga mkono uwekezaji,ila maoni ya wananchi yazingatiwe mkataba whatsoever makubaliano vipengele vyake virekebishwe kabla ya kukubaliwa na wananchi ndio Bunge lilidhie hiyo ndio hoja ya Dk Shoo kwa kifupi literally kabisa ametoa maoni sawa na msimamo wa TEC vinginevyo haungi mkono huo mkataba,zingatia mkataba sio uwekezaji.
 
Back
Top Bottom