TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
TEC 3 - Serikali 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujamuwelewa Rais wewee. Rais akizungumza maana yake amemaliza mjadala. Na yeye anataka mjadala uendelee Ili mwishowe dhamira halisi za wapingaji na waungaji mkono ubinafsishaji zijitokeze. Kuna watu bado hawajayatoa waliyonao.Huu mkataba wa DP World utakuwa una matatizo ndio maana hata Rais anakosa courage ya kuusifia waziwazi.
Naona kama anaendelea kujificha ingawa alipata jukwaa zuuri ya kumaliza utata uliopo lakini hakufanya hivyo!!!.
Ndio Katiba inarekebishwa kuwapa fursa Wachungaji kugombea usiwe mbwiga kihivyo manka!Huyu ni mchungaji, ili uwe mkuu wa KKKT lazima uwe na diocese
Wajinga ndio waliwao kumbuka Kikwete alivyowaambi wajinga kuhusu hela za escrow. Usiwe na ubongo wa sisimizi utaumia sana karne hiiWewe ni nani tuiache kauli ya Rais tuishike yako?!!!
Hajazaliwa wa kuiuza nchi hii...
#Nchi Kwanza Punda Afe Mzigo Ufike[emoji120][emoji120]
Anabadili sheria ili haiuze nchi kwa waarabu kama keki halafu anasema hakuna wa kuligawa Taifa? kweli?Bila kupepesa macho, Rais Samia ameongea haya kanisani KKKT leo
---https://twitter.com/millardayo/status/1693589311843684651?t=NzjjjyFL8-WdjMrZJaeVfQ&s=19
Niliamua kunyamaza na naendelea kunyamaza. Hakuna mwenye misuli ya kuligawa Taifa.
Maoni ya Dr Shoo yamemweka mtegoni zaidi Samia. Kumbuka TEC wamesema walimwona Rais wakiwa na wenzao lakini maoni yao yakapuuzwa. Leo Shoo kasema walimpa maoni na bado Wana Imani atatekeleza. Huu ni mtego mkubwa Sana labda Samia aseme ameuchukua na ameufanyia kazi ili ionekane hakuwaogopa TEC Ila amechukua ushauri wa DR SHOO.Usilembe lugha. Mwambie Rais kuwa hii rangi ni nyeusi na si nyeupe.
Unakuwa umemsaidia zaidi kuliko kumpaka mafuta kwa mgonho wa chupa.
Viongozi wa dini wamekutana na Rais wakatoa ushauri ila TEC kwa utashi wao wakakosa subira wakafanya maamuzi ya kibinafsi yanayotaka kuleta udini na kuligawa taifa.Samia au kikwete matamko yao wanatoa wakiwa kwenye matukio ya kisiasa au dini
Kijana gan uyoKwa ujumla msimamo wa Dr. Shoo ni mbaya zaidi na wa hatari sana kwa mkataba.
1. Wamewaweka njia panda Waislam waliokuwa wanaushambulia ukristo. Sasa itabidi wawashambulie wakatoliki na kuungana na walutheri
2. Wameacha room for negotiations lkn mkataba lazima utupwe kwa kurudishwa bungeni.
3. Wamemsaidia vizuri Rais sasa atakaposima atasema amepokea ushari wao.
Wameonesha ukomavu. Maake wangeungana na TEC wangeonekana wamekosa msimamo. Thesis vs antithesis tunaelekea sasa kwenye Synthesis.
Kijana wao atakuwa VP 2025 ili kujipanga na Urais 2030. JM kwaheri
Mimi naona shoo kampa kicho ndo akamjengea confidence naye akajifanya jemedariShoo kamwambia kihekima ili ajiongeze kuukataa huo mkataba wa kihuni au kurekebisha vipengele tata. Na akamkumbusha wanasiasa wasipende kuwaambia viongozi wa dini kuwa wanachanganya dini na siasa wakati wanatetea taifa lao.
Jinga haahahahahNdio Katiba inarekebishwa kuwapa fursa Wachungaji kugombea usiwe mbwiga kihivyo manka!
Mkataba kwanzaNCHI KWANZA [emoji120]
HAKUNA MWENYE MISULI YA KULIGAWA TAIFA HILI [emoji120]
Kusema ukweli enzi za Nyerere zimeshakwisha. Sasa hivi hakuna mwenye ubavu wa kuligawa Taifa. Aliyedhani anahati miliki ya nchi hii asome alama za nyakati.Hakuna mwenye ubavu wa kuuza Nchi
Yeye ndio ataligawa taifa hili! Yatunze maneno yangu, Kwa mara ya kwanza katika taifa hili tunaweza kuingia kwenye vita za kidini kwasababu ya uwezo mdogo wa Kiongozi tulienae.[emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukana uwezavyo na upumbavu wako wa kurithi....
HAKUNA MWENYE MISULI YA KULIGAWA TAIFA HILI [emoji120]
😂😂😂🔥🔥Jinga haahahahah