Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wanyonge ni akina nani ?Taratibu sauti zinanza kusikika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyonge ni akina nani ?Taratibu sauti zinanza kusikika.
Kamuulize Dkt Shoo.Wanyonge ni akina nani ?
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, Mhashamu Baba Askofu Renatus Nkwande amesema wanyonge huwa wanatetewa na wachache sana lakini wanyonge huwa wanajisahau hata aliyekutetea wakati mwingine unasahau, anasemwa vibaya umesahau, lazima wakati fulani useme hapana bila shaka hiyo ni demokrasia pia eti kwani demokrasia lazima useme ndio tu bila shaka hata kusema hapana sivyo
Baba Askofu Nkwande kwenye Misa Takatifu ya kumuombea aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli iliyofanyika katika Madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo Mwanza Jumamosi Tarehe 25/03/2023.
"Bahati mbaya kweli demokrasia hii wako wanatukana tukana,lakini hata huyu ambaye tumeona amefanya mazuri makubwa kwa nia njema kwa sadaka kubwa leo hii mfu lakini bado tunasemasema hawa watu wanatufundisha hatimaye kutujue na sisi kusema hapana, wanatoa funzo wanatukumbusha kwamba ikiwezekana ifikie mahali tuseme hapana" Askofu Nkwande
"sasa unataka kutuambia kwamba hiyo SGR kwamba hakuifanya na alifanya kwa ajli ya nini ya familia yake si kwa ajili yetu sisi hizo stendi hizo zinaingiza magari yake mle, hiyo treni linajengwa tayari ni la nani alafu leo mtuambie kwamba sasa ni mabaya ni mabaya ni mabaya" Askofu Nkwande
"Nilianza kwa kusema kwamba wanyonge huwa wanatetewa na wachache sana lakini wanyonge huwa wanajisahau hata aliyekutetea wakati mwingine unasahau, anasemwa vibaya umesahau, lazima wakati fulani useme hapana bila shaka hiyo ni demokrasia pia eti kwani demokrasia lazima useme ndio tu bila shaka hata kusema hapana sivyo" Askofu Nkwande

Ndio kaweka uzi hapa JFKamuulize Dkt Shoo.

Ustaadh imefunga kweli!?Askofu mkabila na mdini , hakuyaona aliyo kuwa akiyafanya huyo muhuni anayemtetea hapo? Askofu mzima anatumia neno wanyonge kama silaha anasahau hata biblia imekataa unyonge! Akanye mbele askofu uchwara huyo.
Una mzigo wa takataka kichwani,Askofu mkabila na mdini , hakuyaona aliyo kuwa akiyafanya huyo muhuni anayemtetea hapo? Askofu mzima anatumia neno wanyonge kama silaha anasahau hata biblia imekataa unyonge! Akanye mbele askofu uchwara huyo.
Mpumbavu ni yule maskini wa hikra kama wewe,Mtu akikuita mnyonge na unakubali anakuona ni mpumbavu.
Yeye ana uhakika wa kula, kunywa, kulala sehemu nzuri, kutibiwa hospital nzuri, ana uhakika wa kusoma na kusomesha
Endeleeni jiita wanyonge, mtanyongwa hadi mkome
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
askofu uchwara wakati utekaji unafanyika walikuwa kimya leo anabwabwaja maana sponsor wao kafa wajinga hao ndio maana namkubali sana RUWAICH NA FR. KITIMA.Lenatus Nkwande anajielewa sana sio kama wale waliochukua hela za escrow kwenye sandarusi.
Chawa wa mama na ufipa watapita kimya kimya.
Kisa kumsrma askofu wenu mdini na mkabila au?Una mzigo wa takataka kichwani,
Mimi ni mwumini wa Kanisa Katoliki, na nimekuwa karibu sana na baadhi ya viongozi wa Kanisa kama maaskofu na mapadre Lakini niwe mkweli wa nafsi yangu, kuwa taasisi hii kubwa, licha ya mwongozo wake ulio thabiti, lakini inaongozwa na wanadamu. Na mwanadamu, siyo wakati wote anakuwa sahihi. Kuna wakati hulka ya mtu haimwachi kwa sababu yupo kwenye nafasi fulani, na kuna wakati ushawishi wa mwili unazidi nguvu ya Roho. Na ndiyo maana utasikia mengi pia yasiyopendeza yanayowagusa viongozi wa Kanisa. Na hiyo siyo kwa Kanisa Katoliki pekee, bali ni kwa taasisi zote za dini.Lenatus Nkwande anajielewa sana sio kama wale waliochukua hela za escrow kwenye sandarusi.
Chawa wa mama na ufipa watapita kimya kimya.
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Mwanza, Mhashamu Baba Askofu Renatus Nkwande amesema wanyonge huwa wanatetewa na wachache sana lakini wanyonge huwa wanajisahau hata aliyekutetea wakati mwingine unasahau, anasemwa vibaya umesahau, lazima wakati fulani useme hapana bila shaka hiyo ni demokrasia pia eti kwani demokrasia lazima useme ndio tu bila shaka hata kusema hapana sivyo
Baba Askofu Nkwande kwenye Misa Takatifu ya kumuombea aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati Dk. John Pombe Joseph Magufuli iliyofanyika katika Madhabahu ya Bikira Maria Malkia wa Kawekamo Mwanza Jumamosi Tarehe 25/03/2023.
"Bahati mbaya kweli demokrasia hii wako wanatukana tukana,lakini hata huyu ambaye tumeona amefanya mazuri makubwa kwa nia njema kwa sadaka kubwa leo hii mfu lakini bado tunasemasema hawa watu wanatufundisha hatimaye kutujue na sisi kusema hapana, wanatoa funzo wanatukumbusha kwamba ikiwezekana ifikie mahali tuseme hapana" Askofu Nkwande
"sasa unataka kutuambia kwamba hiyo SGR kwamba hakuifanya na alifanya kwa ajli ya nini ya familia yake si kwa ajili yetu sisi hizo stendi hizo zinaingiza magari yake mle, hiyo treni linajengwa tayari ni la nani alafu leo mtuambie kwamba sasa ni mabaya ni mabaya ni mabaya" Askofu Nkwande
"Nilianza kwa kusema kwamba wanyonge huwa wanatetewa na wachache sana lakini wanyonge huwa wanajisahau hata aliyekutetea wakati mwingine unasahau, anasemwa vibaya umesahau, lazima wakati fulani useme hapana bila shaka hiyo ni demokrasia pia eti kwani demokrasia lazima useme ndio tu bila shaka hata kusema hapana sivyo" Askofu Nkwande
Anayo majibu ya maswali yako.Ndio kaweka uzi hapa JF