Lissu hamiliki hata jeshi la mgambo unasema alileta ghasia are you sober?
Samia alienda ziara ya kuzindua filamu kakaa wiki 2 huko , na safari zake kadha wa kadha za siri zilizonaswa na flight radar akielekea Dubai .
Samia kaweka tamasha Kizimkazi na wakata mauno wameenda huko kukaa huko karibia wiki nzima huku kukiwa kuna mgao wa umeme wa siri siri katika maeneo mengi ya Tanzania na mafuta yakiwa hayapatikani huko kizimkazi watu walikuwa wanapiga cheers tu huku wakienjoy posho.
Kabla hamjaanza kujadili safari za Lissu tuanze na Samia anayewaambia watu walete kwa urefu wa kamba .
Kiongozi anayewaambia watu wajipimie kinachowatosha kwenye kodi za wananchi hafai.
Your browser is not able to display this video.
Na kwa nchi ilipofika hata Bambo na Kingwendu wanaweza kuongoza tu
Huyo tapeli either kaambiwa kibali kimetoka akachukue au anaenda kwenye interview ya kurenew ukimbizi.
Sasa mbusi zingine zinaongozana kuziba njia wakivunjwa mbavu mwenyewe anachukua selfie tu anakimbia.
Kesho anatuma kwa mabeberu huku hali si nzuri mnaona
TL NI MPUUZI SANA, LENGO LAKE LA KWENDA KULIA LIA LIMETIMIA, HASA BAADA YA KUKAA NDANI KWA MASAA, KWAKE NI FURSA, TAYARI.
TUMPUUZE TU, YUPO KAZINI NAHISI ATAKWENDA KUPIGA KELELE KWENYE TAASISI ZA URITHI WA DUNIA, I THOUGHT SO!
Huyu bwana huwa anakuja Tanzania kuchochea chuki na kisha kuondoka, akirudi tena anakuja tena kuchochea vurugu.
Je, Serikali haioni ni wakati muafaka sasa kumdhibiti huyu kibaraka kabla ya kutuletea balaa na yeye kukimbilia Kwa wanaomtuma huko Ulaya kwa kina Armstadam?
"Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA ameondoka nchini siku ya juzi kupitia mpaka wa Namanga kuelekea Nairobi akiwa ameanza safari ya kuelekea katika nchi Ubelgiji na Marekani."
My Take
Serikali msichezee amani yetu Kwa kuchekea Hawa vibaraka waliovaa ngozi ya kondooo, wengine hatuna pa kukimbilia, familia zetu ziko Tanzania, huyo mnaemchekea familia yake ipo huko anakokwenda.
Ebu tutolee upumbavu wako apa , nyie kwenu kila anaekuwa mwiba kwa kuwambia ukweli basi huonekana kama msaliti, lissu aliwashauri serikali ya tano, kuhusu mikataba mibovu mkamsema hivi leo nchi inalipishwa mabilion ya sh mnaona sawa , nyie ndo type za watu wa kufukunzwa nchini, wanafiki wakubwa
Acha ujinga wako, Aman ya Tanzania itaendelea kuwepo maan ni mpango wa MUNGU wala c wanadam!! Maslahi yenu yakiguswa tu mnaanza kuleta taharuki na chokochoko, et amani yetu amani yetu. Nyie wenyew mpaka budget ya Nchi mnawategemea hao wafadhili lkn wapinzani wakidili nao mnachukia!!
Kwa kazi zipi za uwakili zinazompa "mipesa" ya kupumzika ULAYA NA MAREKANI ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]
WATANZANIA tuamke....hawa makuwadi wa UBEPARI ,UBEBERU NA SOKO HURIA wamejipenyeza kila eneo....ikiwa wako misikitini na makanisani watakosaje kuwa siasani ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Kwa kazi zipi za uwakili zinazompa "mipesa" ya kupumzika ULAYA NA MAREKANI ?!!![emoji15][emoji1787][emoji1787]
WATANZANIA tuamke....hawa makuwadi wa UBEPARI ,UBEBERU NA SOKO HURIA wamejipenyeza kila eneo....ikiwa wako misikitini na makanisani watakosaje kuwa siasani ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]