Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Ni kweli ni haki naye apate urithi kama wengine.Ila ndugu zako nao wakae tena chini wakubaliane waligawe shamba mara tano na wewe upate, wakikataa naona ni issue nyingine na sikulaumu ukiwapiga chini
Urithi unauma sana, mimi siwezi kukubali kupunjwa.Why why why 🙌🙌🙌
Kwa maelezo tu kumwita "babako" fedhuli, nashawishika kukuomba umuulize vizuri mamako ili akuoneshe babako.Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha
Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje
Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha
Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea
Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
😂😂😂😂😂😂😂😂Urithi unauma sana, mimi siwezi kukubali kupunjwa.
Ntakata mtu korodanii, why ninyimwe! Ebo!
Huyu anahitaji kumnunulia mjomba wake ulanzi mjomba akishalewa husema ukweli usio julikana🤣🤣Huenda sio mtoto wake au alikuona ni hamnazo
Yawezekana Mzee aligundua kuwa wewe sio mtoto wake Ila Kwa sababu ya busara tu akaona haina haja kuharibu familia uzeeni Kwa sababu Kama hiyo.
Hivi unafahamu mazee makatili ya Kaskazini ndugu yangu uliza watu wa North uambiweKwa maelezo tu kumwita "babako" fedhuli, nashawishika kukuomba umuulize vizuri mamako ili akuoneshe babako.
Nina hakika mamako alichepuka na akambambikiza huyo alokuwa mlezi wako.
Fanya hivyo utanishukuru.
Kwanini utafute mali zako wakati mali za mzee zipo? ili iweje?Umejiepusha na mengi, tafta mali zalo mwenyewe utapata tu. Uking'ang'ana na urithi utachelewa sana
Nikiua itapendeza zaidi. 🥱🥱😂😂😂😂😂😂😂😂
Sa si utauwa
Bichwa kama bichwa
Ndugu yangu usiombe yakupate mimi sidai urithi naumia kwanini alinidharau manake mimi ni sawa na mbwa sistahili hayo ndo maumivu yanguUna uhakika wewe n mtoto wake?? ....maaana kilaa ndoa kadhaa zinawatoto wa nje..!!! Anyway tafuta vyako dogo...
Baba na mama ndio wanajua kwa nini hukupewa urithi. Kama mama yupo ongea nae vizuri labda kuna siri alificha. Kuzaliwa wa mwisho haimaanishi wewe ni mtoto wa nyumba hiyo. Shamba na mali mtu atarithi kwa babayeMimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha
Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje
Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha
Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea
Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Hapana wazee wa Kaskazini wanapenda sana watoto. Sasa kama wanawapa urithi hadi watoto wao waliozaa nje ya ndoa angekunyima vipi wewe uliyezaliwa ndani ya ndoa na kukulea. Hata ndugu zake, mashangazi wangemwambia unafanya makosa kama umeona wamekaa kimya jiulize.Hivi unafahamu mazee makatili ya Kaskazini ndugu yangu uliza watu wa North uambiwe
Labda haukuwa karibu na baba na Hilo Ndilo limekugharimu na inawezekana ulifuja Mali nyingi sanaMimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha
Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje
Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha
Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea
Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Ni kweli yaani unaona umebaguliwa. Na inauma sana.Kunyimwa urithi sio kwamba unaumia yale mali unawaza kwamba mimi sina thamani kwake ni sawa na mbwa wala sistahili
Move on we n mwanaume...dunia n uwanja wa fujo....SEHEM YA KUPUMZKA N KABURINI TU...Ndugu yangu usiombe yakupate mimi sidai urithi naumia kwanini alinidharau manake mimi ni sawa na mbwa sistahili hayo ndo maumivu yangu
Ndio afanye hivyo utapata suluhu.Hebu shirikisha watu wa ukoo.
Mama alinambia baba yako tumeishi nae akitupiga na kututusi kila siku kama yeye kukunyima alikudharau sasa utafanyaje kama mimi nimekuwa nikipigwa makofi na ngumi kila niliposhauri loloteBaba na mama ndio wanajua kwa nini hukupewa urithi. Kama mama yupo ongea nae vizuri labda kuna siri alificha