House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,179
- 2,177
Una mawazo ya kizembe sanaKwanini utafute mali zako wakati mali za mzee zipo? ili iweje?
Mali ipo halafu ukatafute nyingine??
Hapo apambane hadi apate chake. Hakuna kulala.
Cc: Extrovert Lamomy mshamba_mwingine
Waonyeshe upendo tu ,na endelea ku pambana tafuta pesa ,kujitenga kutokujitenga hakutobadili matokeo yaliyopoMimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha
Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje
Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha
Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea
Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Hiyo siyo sababu akuambie vizuri. Kama alipigwa inahusiana vipi na wewe kutokupewa urithi wapewe wengine? Akueleze ukweliMama alinambia baba yako tumeishi nae akitupiga na kututusi kila siku kama yeye kukunyima alikudharau sasa utafanyaje kama mimi nimekuwa nikipigwa makofi na ngumi kila niliposhauri lolote
Basi kama huna baya ulilo mfanyia.Na ule urithi aliandika usomwe mbele ya Ukoo manake mimi alinisaliti mbwa yule
Ndiyo maana hupewa nimetumia codes zanguNa ule urithi aliandika usomwe mbele ya Ukoo manake mimi alinisaliti mbwa yule
Unadhani utapata heshima kwa kuwafanyia ubaya?Bado nalifanyia kazi sitataka urithi lakini cha moto watakiona, siwezi kudharaulika kiasi hiki
Sitaki kufikiria serious mana naweza kujikuta police mana naweza chukua hatua mbaya sanaBasi kama huna baya ulilo mfanyia.
Itakuwa wewe sio mtoto wake tena ukute alifahamu kabisa wewe ni Chasaka sio rahisi akupe urithi wa eneo hasa lile shamba ambalo na yeye alirithishwa.
Pengine alikuwa na hasira ya kusalitiwa kwenye ndoa unafikiri ni kitu chepesi kukibeba.Mama alinambia baba yako tumeishi nae akitupiga na kututusi kila siku kama yeye kukunyima alikudharau sasa utafanyaje kama mimi nimekuwa nikipigwa makofi na ngumi kila niliposhauri lolote
Juzi ulisema Mama na kaka zako wanasema unapata Hela kupitia makafara leo tena umetolewa kwenye Urithi...Wewe itakuwa waliku addopt sio member wa iyo familia uliza vizuri.Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne
Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni watano wala hakunijumuisha
Mimi sikujua chochote kipindi hicho mana nilikuwa mdogo, baada ya kukua ndipo nikajaikuta karatasi ya wosia wake ndani ya sanduku lake
Nilisoma huku nabubujika machozi kiasi gani baba yangu alikuwa fedhuli na kuacha kunijumuisha kama mtoto wake kwenye mirathi yake wakati amenizaa na mama yangu na mimi sio mtoto wa nje
Nimebeba hayo maumivu mpaka sasa sikutaka kabisa kuwa na roho mbaya nianze kudai mirathi nilichojisemea ni kuwa kama alinyima ni sawa yote ni maisha
Lakini nimeona haitoshi nisiishie hapo tu nimeamua kujiondoa kwenye ile familia ambayo sikuhesabiwa na wala sitadai chochote
Je mimi kujitenga niko sawa au nakosea
Mimi binafsi sioni kama nakosea kwasababu sitaki kujipendekeza familia niliyotupiliwa nje
Kumbe familia ilisha sambalatika kitamboMama alinambia baba yako tumeishi nae akitupiga na kututusi kila siku kama yeye kukunyima alikudharau sasa utafanyaje kama mimi nimekuwa nikipigwa makofi na ngumi kila niliposhauri lolote
Nashkuru uliona malalamiko yangu kwa pamoja ili uone ni jinsi gani natesekaJuzi ulisema Mama na kaka zako wanasema unapata Hela kupitia makafara leo tena umetolewa kwenye Urithi...Wewe itakuwa waliku addopt sio member wa iyo familia uliza vizuri.
Sawa,,,utakuja kutupa mrejeshoTutagawana nao hasara sijawa tu serious naskia harufu ya police inanukia
Nimeipenda hiizaidi sumu ya chuki itamsababishia maradhi tu