Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ni sawa tu maana dini ya uislam na mauaji ni ndugu wa damu kabisa hawa ndio maana hata hawajali
 
Ni sawa tu maana dini ya uislam na mauaji ni ndugu wa damu kabisa hawa ndio maana hata hawajali
mchochezi wa kwanza wa vurugu hizi ni aliye anza kuteka na kuwaua watanganyika huyo ndiye mchochezi wa kwanza msitafute wasio na hatia na msijifanye hamjui
 
Hao mashekh ubwabwa hawana 'fuse'

Mpaka siku shekh mwenzao akibakwa kupotezwa kutekwa na kuuwawa ndo watakuja na tamko rasmi

Hili ni swala la kitaifa tuwe pamoja tuweke udini kando...
 
Kuchoma mali za umma na binafsi,kuzuwia/vuruga uchaguzi ni uhalifu,siyo haki
Haki ni kuteka, kulawiti na kuua according to you kwa hayo ndiyo chanzo cha unayoyakalamikia, unalalamikia repercussions badala ya yaliyosababisha hizo repercussions.
That's being extra stupid.
 
Chanzo cha fujo vurugumachafuko ni baada ya Polisiccm kuwapiga Risasi kuwaua waandamanaji wapita njia watu majumbani mwao ndipo kwa Hasira kali wakaanza kulipa kisasi na kuleta vurugu kubwa, Bakwata na Mashehe ubwabwa majini waanze kwa kuwalaani Polisiccm waliowaua watu wengi na pia Bakwata wawalaani Ma-ccm kwa ufisadi wizi wa kura kufanya uchaguzi wa maigizo, utekaji mauaji kuwabambikia kesi za uongo chadema, Bakwata ni kikundi cha njaa kisicho na utu wala ubinadamu ndiyo maana Waislam wenye weledi wapenda Haki huwa hawaitaki Bakwata wanasimama na Haki
 
Kwa hiyo Bakwata inaunga mkono , kutokuwepo Kwa haki
 
idadi kubwa ya waislam ni waathirika na wahanga wa mauaji yaliyotekelezwa na Polisiccm hivyo hawataki Bakwata kuwasemea kilio chao kwani Bakwataccm ipo uvunguni mwa maccm haina meno wala Hoja zaidi ya kuchochea Udini na kitetea Udikiteta Tanganyika uendelee na mkoloni kaburu toka Zanzibar aendelee kuminya demokrasia kuongeza ukandamizaji kwa wapinzani wa kweli
 
Haki ni kuteka, kulawiti na kuua according to you kwa hayo ndiyo chanzo cha unayoyakalamikia, unalalamikia repercussions badala ya yaliyosababisha hizo repercussions.
That's being extra stupid.
Chanzo cha Machafuko ni Utesi manyanyaso uonevu wa maccm kwa wananchi
 
Iv wamekufa wakristo pekee yao waumin wao hawajauawa kinyama naona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…