Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mashehe ubwabwa wa Bakwataccm ni mashetani wote kazi yao ni kufuga majini kuwaroga Mashehe wasitaarabu wasiopenda upumbavu wao, tarehe 9 mandamano yataanzia Bakwataccm ili wapate cha kujifunza
 
Haki ni kuteka, kulawiti na kuua according to you kwa hayo ndiyo chanzo cha unayoyakalamikia, unalalamikia repercussions badala ya yaliyosababisha hizo repercussions.
That's being extra stupid.
Nani katekwa na kulawitiwa?..wewe mbona hujatekwa?
 
Ushindi huo wa "KISHInDO" which?..what?..how?..wawe wanaona AIBU!
 
Kwahiyo solution ni kuchoma mali za watu sio…!
Wewe ndugu yako kauawa kapigwa Risasi unaona anakufa hasira zako utazifikishia wapi kama huna Bunduki ya kuwarudishia risasi? Mali na Roho za watu kipi kina thamani?
 
Nani katekwa na kulawitiwa?..wewe mbona hujatekwa?
Acha kuvuta Bangi hapo ghetto kwa Abdul umejitoa fahamu zote umesahau yule Dada wa Uganda na yule mkenya uliwafanya nini? ebu mrejeshe mdude polepole na wote uliowateka kwanza ndipo uendelee kuvuta bangi zako
 
Huko upande wa pili hakuna watu akili inafanya kazi kama akina Bagonza, Kitima nk. Huko kuna vilaza haswa.
Bakwataccm kitovu cha kufuga majini uchawa kulia lia njaa kali ndipo vilaza wamerundikana kama kunguni
 
Hao mashekh ubwabwa hawana 'fuse'

Mpaka siku shekh mwenzao akibakwa kupotezwa kutekwa na kuuwawa ndo watakuja na tamko rasmi

Hili ni swala la kitaifa tuwe pamoja tuweke udini kando...
Shekhe alikufa na waislam wengi wameuawa kwa kupigwa Risasi na Polisiccm
 
Kuchoma mali za umma na binafsi,kuzuwia/vuruga uchaguzi ni uhalifu,siyo haki
Invinsible amekuwa akitoa slogan ya "ficha upumbavu wako na onyesha weledi wako".
Hivi unajua kuwa mamia ya watu walio uwawa wakiwamo Wanawake na watoto wamepigwa risasi majumbani?
Sasa soma hilo Kisha tafakari na ujinga ulioandika!
Bangladeshi!
 
Acha kuvuta Bangi hapo ghetto kwa Abdul umejitoa fahamu zote umesahau yule Dada wa Uganda na yule mkenya uliwafanya nini? ebu mrejeshe mdude polepole na wote uliowateka kwanza ndipo uendelee kuvuta bangi zako
Walifata nini tz?
 
Ndio maana mnaambiwa maandamano ni haramu yanasababisha wanaingia wasio kuwepo na walio kuwepo
 
Sifa ya kuwa shekhe ni nini? Tatizo linaanzia hapo.
Sifa ya kuwa sheikh ni kujua kusoma na kuandika lugha ya kiaaarabu tu hata kama kaishia darasa la pili B anakuwa sheikh,
 
Invinsible amekuwa akitoa slogan ya "ficha upumbavu wako na onyesha weledi wako".
Hivi unajua kuwa mamia ya watu walio uwawa wakiwamo Wanawake na watoto wamepigwa risasi majumbani?
Sasa soma hilo Kisha tafakari na ujinga ulioandika!
Bangladeshi!
Uwongo,wengi waliouawa waliuawa nje ya majumba,mna-push hiyo narrative kwa agenda yenu mahsusi
 
Ndio maana mnaambiwa maandamano ni haramu yanasababisha wanaingia wasio kuwepo na wasio kuwepo
Chanzo cha mandamano ni wewe kuwanyima Haki wananchi, kuwateka, kuwaua, kuwabambikia kesi za uongo kufanya uchaguzi feki wa maigizo kuiba kura, ufisadi, Udikiteta wako na mambo yako mengi ya hovyo
 
BAKWATA ni chombo cha waislamu kilichoundwa na serikali.....
Hivi ni kweli masheikh hawajui / hawaoni kuwa tume ya uchaguzi si huru??
Waislamu tunajidharirisha sana!
 
Uwongo,wengi waliouawa waliuawa nje ya majumba,mna-push hiyo narrative kwa agenda yenu mahsusi
Wewe utakuwa shetani kwani umeua wengi fahamu zimekutoka mpaka kubishana na ukweli kuwa watu wengi waliuawa wakiwa ndani majumbani mwao pia
 
Masheikh na BAKWATA ni wanafiki sana Ally kibao ni muislamu alitekwa mchana kweupe na kuuwawa hawakutoa tamko lolote.
 
BAKWATA ni chombo cha waislamu kilichoundwa na serikali.....
Hivi ni kweli masheikh hawajui / hawaoni kuwa tume ya uchaguzi si huru??
Waislamu tunajidharirisha sana!
Waislam wenye weledi utu ubinadamu wapenda haki huwa wanaichukia Bakwata, hawaitaki kabsa kwani wanajua Bakwataccm ipo uvunguni mwa ccm inaishi na nyoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…