Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
BAKWATA kwanza wanatakiwa wakasimamie shule zao kila siku zinakuwa za mwisho kwenye mitihani na zinakuafa.
 
Bakwataccm ipo uvunguni mwa ccm hakuna binadamu mwenye Akili Timamu mpenda haki ataipenda au kuwasikiliza Bakwata
 
Yakobo 2:9-13
[9]Bali mkiwapendelea watu, mwafanya dhambi na kuhukumiwa na sheria kuwa wakosaji.
[10]Maana mtu awaye yote atakayeishika sheria yote, ila akajikwaa katika neno moja, amekosa juu ya yote.
[11]Kwa maana yeye aliyesema, Usizini, pia alisema, Usiue. Basi ijapokuwa hukuzini, lakini umeua, umekuwa mvunja sheria.
[12]Semeni ninyi, na kutenda kama watu watakaohukumiwa kwa sheria ya uhuru.
[13]Maana hukumu haina huruma kwake yeye asiyeona huruma. Huruma hujitukuza juu ya hukumu.
 
Huyu sio rahisi wa dini ya kislam waislam wajinga wananishangaza hapo kwa hiyo na wakatoliki akiingia Rais mkatoliki waanze kumpogeza
Nyinyi wapuuzi Sana huu michezo wameanza wakatoliki kwaninkila akiingia Rais Muislam wakawa wanamtungia propaganda na figisu.. alipokuwa raia Mwinyi kila jengo au hotel ikijengwa Dar inavumishwa ni mama Siri, alipoingia Kikwete tukaambiwa vya Riz 1 na Yuko mama tukaambiwa vya Abdul.Na wewe ninbiya kupitia maboya wote kwani hao bakwata si pia walimpongeza Magufuli! Hivi sasa waislamu wameshasema enough is enough siku zote wakiristo na zaidi wakatoliki walikuwa wanajiona hii nchi ni Yao peke Yao na wamepewa hati miliki. Lakini Ile Karne imeshapita tutaenda hivi hivi mpaka kieleweke. Rais Samia is here to stay..
 
HHa
Hawa ni mawakala wa shetani ndiyo maana wanaona Watanganyika zaidi ya 10,000 kuchinjwa ni sawa tu ili mradi wanapewa vibahasha na kubwa la maadui toka Kizimkazi .
 
Hapo usilaumiwe uislam ni ujinga na njaa za hao wachache!

Lipumba ni muislam pia ila majuzi kawa mkweli kumuambia samuya ANAPWAYA!
 
Mwinyi akuuza Roliondo kweli mimi Mkapa akuuza bank ya NBC kwa hiyo wanaokemewa kutokana na kiti cha Urasi hakina dini ndo maana Magufuli alichapwa spana kushoto na kulia Mpaka Maaskofu wa katoliki alinyanganywa Passport Viongozi wa bovu tuwakatae bila kujali dini
 

View: https://www.youtube.com/watch?v=R76EVJWY4f4
 
Njaa mwanaharam hawajajali hata shee mwenzao sharifu majini kuuwawa?
 
Waislam wenye weledi utu ubinadamu wapenda haki huwa wanaichukia Bakwata, hawaitaki kabsa kwani wanajua Bakwataccm ipo uvunguni mwa ccm inaishi na nyoka
Hili swala la maandamano misikiti yote walilipinga ya BAKWATA na isiyokuwa chini ya BAKWATA kwahiyo huo ndio msimamo wa waislamu wanaofanya ibada sio hawa wa huku Keyboard warrior
 
BAKWATA Ni tawi la CCM
Don't waste your time!
 
"siku zote wakristo na zaidi wakatoliki wanajiona hii nchi ni yao peke yao"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…