Zaidi ya 10,000!!!!!!!HHa
Hawa ni mawakala wa shetani ndiyo maana wanaona Watanganyika zaidi ya 10,000 kuchinjwa ni sawa tu ili mradi wanapewa vibahasha na kubwa la maadui toka Kizimkazi .
AI.TIZAMA KAULI YA RAISI KIKWETE KWA VIONGOZI WA DINI LEO
Uwongo, nyinyi waongo sana,watu fitnaWewe utakuwa shetani kwani umeua wengi fahamu zimekutoka mpaka kubishana na ukweli kuwa watu wengi waliuawa wakiwa ndani majumbani mwao pia
Waliowawa kwenye makazi yao walikuwa wanachoma nini? Bangi?Kwahiyo solution ni kuchoma mali za watu sio…!
Katika kitu cha kipumbavu mwanadamu kuletewa ni DINI. Dini ni ulevi mbaya sana.Nyinyi wapuuzi Sana huu michezo wameanza wakatoliki kwaninkila akiingia Rais Muislam wakawa wanamtungia propaganda na figisu.. alipokuwa raia Mwinyi kila jengo au hotel ikijengwa Dar inavumishwa ni mama Siri, alipoingia Kikwete tukaambiwa vya Riz 1 na Yuko mama tukaambiwa vya Abdul.Na wewe ninbiya kupitia maboya wote kwani hao bakwata si pia walimpongeza Magufuli! Hivi sasa waislamu wameshasema enough is enough siku zote wakiristo na zaidi wakatoliki walikuwa wanajiona hii nchi ni Yao peke Yao na wamepewa hati miliki. Lakini Ile Karne imeshapita tutaenda hivi hivi mpaka kieleweke. Rais Samia is here to stay..
Hawajasikitishwa na thousands of innocent killed people! Miku yao wapumbabuBaraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko hayo.
Katika tamko lililotolewa siku ya Alhamisi, viongozi wa taasisi hizo wamesema tukio hilo limeacha majonzi makubwa kutokana na vifo vya watu wasio na hatia, ulemavu wa kudumu, na uharibifu wa mali na miundombinu ya umma na binafsi.
Viongozi hao wameeleza kuwa kabla ya uchaguzi mkuu, walifanya jitihada kubwa kuhimiza utunzaji wa amani, wakisisitiza kuwa kudai haki ni jambo la msingi, lakini lisifanywe kwa njia zinazohatarisha usalama wa taifa.
BAKWATA imeiomba serikali kuwa na jicho la huruma kwa familia zilizopoteza ndugu zao, waliojeruhiwa au kuathirika kwa njia yoyote katika machafuko hayo, huku ikiitaka pia kuchukua hatua dhidi ya wale ‘waliowachochea vijana kujiingiza kwenye vurugu’.
Aidha, tamko hilo limehimiza serikali kuzingatia suluhu na maridhiano pale inapobidi, kwa maslahi mapana ya taifa. Hata hivyo, viongozi hao wameonya kuwa maridhiano yasitumike kama zawadi kwa watu waliotenda uhalifu, wakisema vitendo vya namna hiyo havipaswi kufumbiwa macho.
Aidha viongozi wa Kiislamu hao wamempongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wa kishindo wa uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mitano ijayo huku wakimtakia heri katika utekelezaji wa majukumu yake.
Nawewe ni muuaji tu kafie mbali huko.Zaidi ya 10,000!!!!!!!
Punguzeni uongo.
Kweli watu wameuliwa, lakini zaidi ya 10,000!!!!
Hapana sio kweli nchii ni ya watanganyika"siku zote wakristo na zaidi wakatoliki wanajiona hii nchi ni yao peke yao"
Nyumbu huuzunika mwenzao akiuwawa ,wewe unafuria binadamu mwenzako akiuwawaKuchoma mali za umma na binafsi,kuzuwia/vuruga uchaguzi ni uhalifu,siyo haki
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia anaendelea kupokea na kumiminiwa pongezi kutoka taasisi mbalimbali ndani na nje ya Nchi. Kutokana na ushindi mnono na wa kishindo alioupata katika uchaguzi Mkuu uliofanyika Mwezi uliopita . Ambapo Taifa lilishuhudia Rais wetu kipenzi cha watanzania akiibuka kidedea kwa kupata ushindi wa 98% wa kura zote.
Ushindi ambao ulichagizwa na uchapakazi wake na kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake. Ambapo kila mtanzania mamilioni kwa mamilioni waliamua kumpigia kura za ndio ili aendeleze kazi njema aliyoianza katika awamu yake ya kwanza ya uongozi wake.
Embu soma Hapa 👉Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko hayo.
Katika tamko lililotolewa siku ya Alhamisi, viongozi wa taasisi hizo wamesema tukio hilo limeacha majonzi makubwa kutokana na vifo vya watu wasio na hatia, ulemavu wa kudumu, na uharibifu wa mali na miundombinu ya umma na binafsi.
Viongozi hao wameeleza kuwa kabla ya uchaguzi mkuu, walifanya jitihada kubwa kuhimiza utunzaji wa amani, wakisisitiza kuwa kudai haki ni jambo la msingi, lakini lisifanywe kwa njia zinazohatarisha usalama wa taifa.
BAKWATA imeiomba serikali kuwa na jicho la huruma kwa familia zilizopoteza ndugu zao, waliojeruhiwa au kuathirika kwa njia yoyote katika machafuko hayo, huku ikiitaka pia kuchukua hatua dhidi ya wale ‘waliowachochea vijana kujiingiza kwenye vurugu’.
Aidha, tamko hilo limehimiza serikali kuzingatia suluhu na maridhiano pale inapobidi, kwa maslahi mapana ya taifa. Hata hivyo, viongozi hao wameonya kuwa maridhiano yasitumike kama zawadi kwa watu waliotenda uhalifu, wakisema vitendo vya namna hiyo havipaswi kufumbiwa macho.
Aidha viongozi wa Kiislamu hao wamempongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wa kishindo wa uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mitano ijayo huku wakimtakia heri katika utekelezaji wa majukumu yake.View attachment 3501584
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ilipaswa kuwa 'what else can they do?'.. taasisi za pombe tunaziona zikibweka kabla na baada ya uchaguzi
Ukatoliki ni dini isiyo taka kuishi kinafiki kama uislam jua hivyo, hawana haja ya kujipendekeza kwa yeyote"siku zote wakristo na zaidi wakatoliki wanajiona hii nchi ni yao peke yao"
Ukatoliki ni dini isiyo taka kuishi kinafiki kama uislam jua hivyo, hawana haja ya kujipendekeza kwa yeyote maana ukatiliki wenyewe unajitosheleza kabisa"siku zote wakristo na zaidi wakatoliki wanajiona hii nchi ni yao peke yao"
Hata kaka yao MAJINI alileta unoko Kama wao wakamtimbia nyumbani kwake hao hao alio kua anawaunga mkono na kuwapromo wakamuwasha HEAD SHOOT, kama call of duty vile.Hawa mashehe ubwabwa sio lazima kusubiri 9D.
Hawa wanaweza kuanza kutembelewa kufundishwa madhara ya unafki wao kwa vitendo.
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko hayo.
Katika tamko lililotolewa siku ya Alhamisi, viongozi wa taasisi hizo wamesema tukio hilo limeacha majonzi makubwa kutokana na vifo vya watu wasio na hatia, ulemavu wa kudumu, na uharibifu wa mali na miundombinu ya umma na binafsi.
Viongozi hao wameeleza kuwa kabla ya uchaguzi mkuu, walifanya jitihada kubwa kuhimiza utunzaji wa amani, wakisisitiza kuwa kudai haki ni jambo la msingi, lakini lisifanywe kwa njia zinazohatarisha usalama wa taifa.
BAKWATA imeiomba serikali kuwa na jicho la huruma kwa familia zilizopoteza ndugu zao, waliojeruhiwa au kuathirika kwa njia yoyote katika machafuko hayo, huku ikiitaka pia kuchukua hatua dhidi ya wale ‘waliowachochea vijana kujiingiza kwenye vurugu’.
Aidha, tamko hilo limehimiza serikali kuzingatia suluhu na maridhiano pale inapobidi, kwa maslahi mapana ya taifa. Hata hivyo, viongozi hao wameonya kuwa maridhiano yasitumike kama zawadi kwa watu waliotenda uhalifu, wakisema vitendo vya namna hiyo havipaswi kufumbiwa macho.
Aidha viongozi wa Kiislamu hao wamempongeza Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ushindi wa kishindo wa uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka mitano ijayo huku wakimtakia heri katika utekelezaji wa majukumu yake.
Sio wote mkuuwaislamu ni oya oya tu,hawana Mungu.
Mtu yeyote mwenye akili timamu anajua Oktoba 29 uchaguzi haukufanyika na samia hatambuliki kama rais kwa mujibu wa katiba ya Tanzania.