BAKWATA wana ushwawishi na nguvu kubwa kuliko TEC katika siasa za nchi

Maridhiano yatajibu mambo ya MO29 na safari ya kwenda mbele, maana ndio njia ya kututoa kwenye huu mkwamo kwa amani.kuna wakati busara hutumika ktk kutatua matatizo tulizokuwa nayo
 
 
Kwahiyo serikali iendelee KUBA, KUPORA, KUUA WATU na kila mwenye akili timamu akae kimya kwasababu wewe SHEIKH UBWABWA umepewa TENDE???


Aisee, Nadhani kati ya kitu cha ovyo kimewahi kutokea dunia hii ni hii DINI YA NGONO na UNAFIKI.

Dini ya ngono ipi

Kichwani mwako tuhuma za Viongozi wenu wa Dini kupenda vijambia vya watoto wadogo wakiume🫎‼️
 
Shekhe ana elimu ya madrasa, lazima awe na ushawishi huko serikalini mana ndio watu wanaopendwa mana hawajitambui, n mwendo wa kupewa sahani ya wali tuu kwisha
 
Ushasema BAKWATA na CCM ni damu damu, maana yake BAKWATA ni wanachama wa CCM, tofauti na TEC ni taasisi ya dini, na dini imebeba waumini wote, Kuto kuwa na upande ni sawa sawa kabisa TEC wanachoambia waumini wao wwatende haki, wawe waadilifu kama Biblia inavyoelekeza, BAKWATA kubwa CCM sio sifa inatakiwa iwe ni udhaifu kwa sababu si waislamu wote wanaunga mkono CCM kwa mantiki hiyo BAKWATA kuwa chombo cha kuwaunganisha waislamu kimekosa sifa, ndio maana utaona upinzani ndani yao ni mkubwa, hiyo hiyo BAKWATA haiungwi mkono na waislamu wote, tofauti na TEC
 

Kwani TEC inaungwa mkono na Wakristo wote nani kakudanganya ???
 
Shekhe ana elimu ya madrasa, lazima awe na ushawishi huko serikalini mana ndio watu wanaopendwa mana hawajitambui, n mwendo wa kupewa sahani ya wali tuu kwisha

Wasomi wako wa PHD lkn wengi wanakesi za kupenda vijambia vya watoto 😭
 

TEC Wanajitegemea wapi
nani kakudanganya ??

Wanapokea Bilioni kadhaa za ruzuku kutokea Serikalini

Ndiomana Wanauma na kupuliza muda uho uho✅️
 
Inaonekana wewe ni akili kisoda, na kama sihivyo, unalishwa matango pori, ili mtete "....…." Kwa kuwa ni mwenzetu

Kama Yoda hawe akili kisoda 👈
wewe si utakuwa akili kitongwa
kabisa✍️
 
Maridhiano yatajibu mambo ya MO29 na safari ya kwenda mbele, maana ndio njia ya kututoa kwenye huu mkwamo kwa amani.kuna wakati busara hutumika ktk kutatua matatizo tulizokuwa nayo
Maridhiano kati ya nani na nani na waridhiane nini, kwenye kitu gani kwa nini na nani kamkosea nani mpaka waridhiane?.

Yaani walioiba kura watafute namna ya kuhalalakisha wizi woo halafu watwambie maridhiano?.

watu waache kutenda haki kwa makusudi kinyume cha sheria halafu eti lazima mridhiane kwanza ndo watende haki?. Nonsense.

Give me a break
 
Huyu jamaa anataka kukuza mfarajano wa kidini, ili kuutumia kama mbinu ya Kuacha kuangalia madhila ya nchi tuangalie tofauti zetu wezi wapite kwa kasi

Mbona Bakwata wametulia kinyaaa

Lkn kina Father Kitima wapo mbio mbio
Kwanini wasijielekeze kumtangaza YESU kwa mapambio mazuri
Wanaangaika kukutana na Wanasiasa✍️
 
Kwahiyo serikali iendelee KUBA, KUPORA, KUUA WATU na kila mwenye akili timamu akae kimya kwasababu wewe SHEIKH UBWABWA umepewa TENDE???


Aisee, Nadhani kati ya kitu cha ovyo kimewahi kutokea dunia hii ni hii DINI YA NGONO na UNAFIKI.

Kwenu na Usodoma munajumuika nao pamoja 🫎🫎🫎🫎😭
 
Wavaa kobazi hao watu wamekarori quran tu lkn kwa uhalisia akili zao ni kidogo sana kama chembe ya haradani
 

TEC walikuwa kimya baadae zipo Sababu zikafanya japo kutoa matamko kuusu Corona baada wenyewe ndani yao kuanza kufa na Corona ✍️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…