Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
- Thread starter
-
- #181
Anaogopa na huenda anajua walichomfanya Magufuli au ni miongoni mwao.Samia aahirishe kugombea urais,asigombee ili taifa libaki salama.
Mpaka anasema hadharani kwamba boss wake ni kikwete inaonekana Samia hana upeo wa kuona mambo na ku-reason sawa sawa,yupo yupo tu hajui thamani ya kiti alichokikalia.
Unachosema wewe ndicho alichosema yeye....naona wote kumbe mna hoja za kijinga🤣🤣Samia anahujumiwa kwanini asichukue hatua wakati yeye ni Rais?
Ukiona unahujumiwa na ukashindwa kuchukua hatua achia ngazi otherwise your a part of a problems!
Hoja ya kijinga Sana hii.
Wanampotosha nae anaingia mazima, hao wanaompotosha ndiyo hile akili ya kuambiwa changanya na yakoLabda anaona kazidiwa nguvu au wapo kwenye boti Moja.
SawaKama hapo kwa kutulia, hadi kufika 78% ya presentation ya HP maswali yako yatakuwa yamejibiwa.
Lissu alimpromote Lowassa kumbuka Hilo KwanzaHawa wanaaminika maana kubwa mbowe ndo alifanya kila kitu kama boss shida ilikuwa kwa lissu ilibidi akubali shingo upande ili isionekane kama analeta mgawanyiko chamani ukiiona humukubali Lissu basi wewe ni kobazi mdini jichunguze
Wamemshughulikia mwanae
Wapenzi wa Chadema huwa wananifurahisha sana anahoji kuhusu polepole kwanini hakusema kipindi kile now kwanini anasema na anasema hamuamini lakini hao hao wanawaamini wakina Lissu, Lema na mnyika waliomsema Lowassa ni fisadi kwa miaka 8 alafu wakampokea kwenye chama Chao na kuwa ni mgombea wa uraisi na wakamsafisha huu ni unafiki wa aina ganiWewe kwanini haukusema??
Huyu jamaa alijipanga mapema yawezekana ana watu ndani ya mfumo ambao hawafurahishwi na yanayoendelea wako nyuma yake kuhakikisha hakuna nzi anamgusa!Watanzania wanatakiwa kupaza sauti Tanzania ni mali yetu sote siyo mali ya kikundi cha wachache wanaotaka kujinufaisha. Polepole amekuwa jasiri sana sijui watamfanyaje wakimkamata.
Hakuna aliyekunyima ,Hata wewe pia una Uhuru wa kugusia hizo inshu za uchumi na za Tundu lisuJamaa mbona hagusii Tundu Lissu, ishu za uchumi n.k
Kama Lissu, Lema na mnyika hawakupendezwa na maamuzi ya mbowe wangetoka hadharani Kama alivyofanya Dr. Slaa na kupinga iko kitendo au wangejiuzulu lakini kitendo Chao cha kukaa kimya imeonesha wamebariki hayo maamuzi na hawakuishia hapo Hadi wakawa wanampigia kampeni my main point ni hivi kwanini wanachadema wanahoji kwanini polepole hakuongea kipindi cha Magu lakini kwanini anafanya Sasa na Mimi nikatengeneza hoja yangu kuhusu hili suala la Lowassa kwa viongozi wao Kama ambavyo wanaamini viongozi pamoja na kumleta Lowassa ndani ya chama Chao kwanini Sasa wanahoji kuhusu Polepole anayasema haya kwanini hakusema kipindi kile huwa uwalali wakusema hivyo wanapata wapiBila Mbowe kutanguliza njaa mbele Lowassa asingekanyaga CHADEMA
Ukimuuliza dc wa kisarawe atakuambia Polepole ni nani?Support anayopewa mtandaoni inatia moyo. Sote tunajua nini kitafata ukionekana kwenye media live unafanya ambacho CCM hawakipendi.
Ni kweli lkn Samia lazima abebe hii lawamaMkuu uwezi kuchukuwa hatua kiraisi yaani wao ndio wanakuongoza na Bado wanakupigania uendelee kuwepo na ndio maana polepole amesema yeye mwenyewe hajui kinachoendelea na ndio serikali ya pili ambayo inayoendeaha nchi ambayo haitambuliki na ambao ndio Ina nguvu huyu polepole ukimsikiliza kimakini Kuna mambo mengi anayajua yapo nyuma ya pazia na ndio maana hao hao ccm wanampinga vikali na ndani ya ccm Kuna matabaka yameshagawanyika Yale yanayosema ukweli yameshamalizwa
Lissu, Lema na mnyika walikuwa sehemu ya hayo maamuzi na ndio maana hukuwasikia kupinga hayo maamuzi au kujiuzulu Kama alivyofanya Dr. Slaa na hawakuishia hapo tu walimpigia na kampeni kabisa Kama ambavyo unawaamini viongozi wako pamoja na Hilo kosa waliofanya basi Huna uwalali wowote wako wakuhoji kwanini polepole hakuongea kipindi cha Magu kwanini anaongea sasa tofauti na hapo utakuwa unafanya ushabiki na chuki zako binafsi kwa polepoleAliyemleta Lowassa ni Mbowe ambaye amekuja kubainika kumbe hakuwa mpinzani halisi. Ndiyo maana kwa sasa chama kinasafisha wale wote waliokuwa wanafiki baada ya Mh Lissu kushika uenyekiti.
Huu ndio ukweliHuyu jamaa alijipanga mapema yawezekana ana watu ndani ya mfumo ambao hawafurahishwi na yanayoendelea wako nyuma yake kuhakikisha hakuna nzi anamgusa!
Huyu jamaa siri anazozitoa sidhani kama atabaki salamaKatika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.
Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.
Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.
Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika
Asanteni.
Mbona amegusia kwenye ile iliyopita baada ya hiiJamaa mbona hagusii Tundu Lissu, ishu za uchumi n.k