Bandari na Usalama wa Taifa, Rais Samia hujui hata hili?

Hamuwezi kuyafanyia kazi nyie mapungufu hata mpewe miak 1000
Mtabaki vilevile

Ova
 
Ustaarabu upi ? Huo wa kujilipua mabomu ili mpate mabikra akhera ?

Acha ujinga.
 
Hakuna Serikali inaweza kuua Raia wake wengi kwa mara moja, imagine wameandamana Wananchi laki 2 hapa DSm unadhani Serikali itaweza kuwapiga wote Risasi

Hapo ni uthubutu tu
Usithubutu, utakufa ni hakika hao watu hawana utu mbele ya madaraka yao
 
Hili suala Magu alilifafanua sana, alafu huyu mama anajitia upofu.
 
Ilo yeye halimuhusu anachokitaka yeye ni kupeperusha bendera ya Zanzibar TU...sisi tutauzwa mchana kweupe na utanzania wetu... wazanzibar Wana visasi vibaya sana asikwambie mtu...Hawa watu tungewaachia nchi Yao na sisi tubaki na nchi yetu...
 
Zamani Babu na bibi zetu walivishwa nyororo na kuuzwa ,tuliosoma historia tulikuwa tunasema inawezekanaje ina maana hawa watu walikuwa wajinga eeh,lakini Sasa hivi pamoja na elimu na teknolojia yaani tunauzwa tena pasipo hata kufungwa nyororo.
 
In the contrary, it's very well known !!!
 
Acha kusingizia na kufikiria kutumia akili ndogo. Umeambiwa hayo ni makubaliano na siyo ya kila kitu, vitu vyetu vitapitia njia salama kabisa. Acheni kumsumbua Mama
 
Hakuna faida yeyote.

Baada ya Nyerere walibinafsisha kila kitu tumebakia maskini mpaka sasa.

Rais nchi imemshinda anatamani kubinafsisha kila kitu mpaka raia wake ila sio cheo chake.
Hakuna sheria inayozuia raia wa Tanzania kuhama nchi, nenda Burundi mkuu
 
Umefikiria kienyeji sana,hivi umewahi ona pesa zinaposafirishwa si ndio? Huwa zinapekuliwa? Huwa unajua kiasi? Ila unajua ni msafara wa pesa bila shaka..

Hata huko Bandarini vifaa vya kijeshi vinaweza ingia na hakuna wa kukagua,kukodisha Bandari sio kukodisha exclusive rights za Nchi na mara kadhaa tumeshuhudia misafara ya majeshi wakisafirisha zana zao usiku au mchana ila huwezi jua aina ya zana unless wewe ni mtaalamu wa mambo ya jeshi..

Hata huko Nchi zilizoendelea tunaona silaha zinasafirishwa na maadui wanajua ila huwezi jua quantity hata zana zote kiujumla.

Mwisho kwamba Nchi ambazo hazina Bandari basi wewe unajua aina ya silaha zoote walizonazo si ndio? Tuacheni ujuaji usio na msingi na kuwafanya viongozi wajinga..
 
Anataka awajaze mashekhe bandarini. Huyu mama ni mdini sana hamjui tu. Ukiangalia kwa makini kwa mtu mwenye akili kayika teuzi zake utagundua zuna udini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…