Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

Wahusika gani?

Kwamba Simba ilitakiwa iwapigie simu Yanga kuwa tunakuja?
waulize hapo TFF kwa nini wamesema jamaa walienda kinyemela

we si ndo uweka bandiko ujasoma TFF wamesemaje

unaenda na mbuzi na paka kinyemela
 
Upate muda wa kutafakari tena matumizi ya haki.

Ulishawahi kukuta mtu anawajibishwa kwa kutoitumia haki yake? Au kutotumia haki yako inaondoa uhalali wa kuitumia hiyo haki next time?
 
Umeisoma vizuri hiyo taarifa? Bodi ya ligi inasema Simba haikuwasiliana na yeyote kuhusu nia yake ya kufanya hayo mazoezi ili wahusika wawaandalie mazingila ya hayo mazoezi kilichopo ni kwamba jamaa walichungulia wakaona leo ni maafa wametafuta sababu
 
Ubaya Ubwela

Hiki kiburi kisiwe kwa Simba tu, bali timu yeyote inayofanyiwa mambo ya kihuni.. Yanga na mashabiki wake wamekuwa na mambo ya kisenge sana.

Mnakumbuka RC wa Mwanza? Tukaingiza timu, mwisho wa siku inaonekana kama kitu cha kawaida tu.
Toka siku ile ndio nilimdharau yule jamaa!
Hata afanyeje nilimfuta kabisa...tukio lile ndio limezaa hili la jana...
 
Helaa zetu za tiketi,nauli zetu tuliotoka mikoani,tumelala magesti,hotel tumetumia gharama kubwa kirahisi mnahairisha mechi,watanzania tuinuke sio mashabiki wala wapenzi watanzamaji,tuangalie mpira kwenye tv inatosha hakuna kwenda uwanjani
Hio pesa si Bora ungeitumia hata kwa sadaka kesho kanisani kama wewe ni mkristu...YANI utoke mkoani uje dar kwa ajili ya Simba vs yanga? Kwani hakuna tv majumbani kwenu?
 
Aliyetafuta sababu ni aliyezuia mabasi,mbona ukweli unaonekana lakini watu wanaukataa.Vipi kama simba vwangejitutumua jana na damu ikamwagika.
 
Sasa mlitaka simba itoe taarifa gani wakati haki yao ya kisheria ya kutumia uwanja ipo wazi? Watoe taarifa kwani nyie Body ya ligi hamjui kama leo kulikua na mechi?

Masaa mawili yote waliyosimama getini huku wakisubiri muafaka wa kuruhusiwa kuingia uwanjani kwanini hamkutoa maamuzi waruhusiwe ?maana ni haki yao

Simba inatakiwa iendelee kugomea huo mchezo hadi waliozuia wachukuliwe hatua ili iwe funzo kwa wavunja sheria wengine
 
Upate muda wa kutafakari tena matumizi ya haki.

Ulishawahi kukuta mtu anawajibishwa kwa kutoitumia haki yake? Au kutotumia haki yako inaondoa uhalali wa kuitumia hiyo haki next time?
Kwenda kujisaidia ni haki sio haki!? Nakumbuka tulipokuwa shuleni ilikuwa lazima uombe ruhusa ya kwenda kunya... zipo taratibu pia za kuitumia na kuipata hiyo hiyo ambayo ni YAKO!
 
Walienda na Waganga wao uwanjani wamwambie nani akaone wanavyowanga uwanjani?
 
Huo ndio ukweli 101%

Kuna muda ni upumbavu kushabikia mpira wa Tanzania maana unakuwa karibu na kuwa mpumbavu au mpumbavu kabisa

CAPO DELGADO tia neno kwa mpira wa Bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…