Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

No Reform poor election.
Tutaelewana tu
 
waulize TFF kwa nini wamesema simba alienda kinyemela
UBAYA UBWEGE kama mlivyokataa kuleta timu baada ya muda kubadilishwa
wallace karia na genge lake wamekaa wameona wasipochukua hatua goli 5 zinanukia
kama vile hukuwahi kushenyentwa goli 5 unajichomoa betri
 

Attachments

  • IMG-20250308-WA0005.jpg
    48.6 KB · Views: 1
waulize hapo TFF kwa nini wamesema jamaa walienda kinyemela

we si ndo uweka bandiko ujasoma TFF wamesemaje

unaenda na mbuzi na paka kinyemela
Wajinga wa aina yako ndio mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.
 
Nataka mimi au bodi ya ligi? Tuchambue walichoandika bodi ya ligi sio ninachotaka mimi.
 
utaenda bila mawasiliano mkuu, lazima utoe taarifa uandaliwe

bado bodi kasema hapo kuna ujinga mwingi unachunguzwa (itakuwa stori ya bus kujaza wazee na kuwa na mbuzi kwenye bus)
 
Hata reasoning ya wajinga wa aina yako ni mtaji mkubwa wa chama tawala nchini.
 
Tayari umehamisha magoli. Ulizungumzia taratibu za kupata haki au uliuliza mbona Simba wakati mwingine huwa hawapati pitch feeling?! Kuwa consistent tafadhali
Haki umeiongelea wewe... na nimekujibu hiyo hiyo haki wakati mwingine ina utaratibu wa kuipata ingawa ni yako...usijitoe ufahamu! Nb-Mimi ni mpenzi na mshabiki wa Simba SC ila sio mwananchama😁😁😁
 
Hapa imetumika busara za kuleana na sio kanuni.
Kwenye maelezo ya paragraph ya tatu inaonesha kosa ni la wao Simba kutotoa taarifa kwa yeyote yule kuhusu kuhusu kuutumia uwanja siku ya Ijumaa View attachment 3263597
Watoe taarifa ya nini wakati inajulikana ni matakwa ya kikanuni kufanya mazoezi muda sawa na muda wa mechi siku 1 kabla??
 
Hili sekeseke litaendelea tu...

Hiyo tarehe mpya itakayopangwa nao Yanga watagoma kuleta timu uwanjani (kwa mujibu wa barua yao waliyotoa leo)

Tunarudi kule kule...

Haya mauza uza hadi lini sijui kwa kweli
Basi match ifutwe kabisa, watu waendelee na mambo mengine.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Hii biashara ya kufuga majinga majinga kwenye timu ambayo kazi hayataki kufanya yanajifanya ni mabaunsa mafia timu ndio tatizo lilipo. Aliyewatuma ni nani , na kama ni mauchawi wao hawajalogo? Bure kabisa na hovyo kabisa hizi timu zimejaa ushirikina. Nashukuru Mungu kwenye Dua za kiziombea hizi timu viongozi wa dini ya kikristu Huwa hawashiriki. Huwezi kusema unamwomba Mungu ili ushinde au unamshukuru Mungu kwa mafanikio huku ushindi na mafanikio yako yametokana na matunguri. Otherwise mnamdhihaki Mungu kwamba ulishindwa kutusaidia Sasa tumewezishwa na wazee kupitia kamati ya matunguri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…