Bomu lalipuka kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha, watu kadhaa wahofiwa kupoteza maisha!

Damu huwa inaongea na inalia maana ndani ya damu ndimo uhai wa mtu. hivyo damu hizi zilizomwagika na zitakuwa juu yao waliopanga na kutekeleza mpango wa milipuko hiyo.
 
Muda huu kinachoendelea ni kwa watu kutoa mchango wa damu katika hospitali za Selian na Mount Meru.

Zoezi hili linaongozwa na Mh. Mbowe na Mh. Lema.

Wito kwa watu wote wa hapa Arusha wakatoe damu kuchangia damu kwani majeruhi ni zaidi ya sabini!!

Mungu wangu tufanye nini
 
Mkuu Name Calling unajua kama unafanya makosa?

Sorry bro kama nimekosea ila am so sad pitia tanuru la fikra! Vijana wameandika mambo ya ajabu na wamesha conclude kwamba cdm wamefanya hivyo. Kifupi chuki inazidi kuwa kubwa kwa namna hiyo. History itamuhukumu mzee wetu. Fikisha ujumbe wangu.
 
Mmmh..nasikia harufu ya ugaidi katika mbinu ya kijanja sana.Mana Chadema wanahusishwa na dini flani hivi.So sad
 
Hvi mnaoandika hasa ww uliyesema mlikuwa kwenye kikao na mkuu wa mkoa we ulihuska kama nan na taarifa zako znaushahid au unaropoka 2 kama una ushahid weka audio ya mazungmzo then yote yanawezeka either CDM ndo wamelipua ili wasingzie ccm au CCM so mcijitie ndo mnajua sana kuanza kunyooshea vodole wa2 kama huna uhakika

Then IKUMBUKWE hapa sio sehem ya campen so ongeen point

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 


Tulianza na Mungu tutamalizaa na Mungu...
 
Ngoja tusubiri habari zaidi kama kuna maganda ya risasi yamesambaa uwanjani basi kuna jambo limejificha.
 
Hawa Ni Ccm Kupitia Magaid Wao Mwigulu Na Wengine Wakishikiana Na Jeshi La Polis
 
Najua nitakufa lakini sio kifo cha masikhara namna hiyo. Iweje ukweli upingwe? Kwanini matukio haya hayatokei kwenye vyama vingine zaidi ya CDM? CHUKUA HATUA.
unafikiri nawaza kwa kutumia masaburi kama wewe??? natumia akili zangu huna haja ya kupoteza nguvu zako kunishawishi usiniambukize ufinyu wa fikra kama wewe ulivyo.
 
Kwanini hili limetokea siku chache tu baada ya Lwakatare kutoka !!!

Kwa nini mambo kama haya yalitokea kanisani muda mchache tu baada ya Lwakatare kuwekwa mahabusu pia tukio kama hili limetokea muda mchache tu baada ya Ambros kuwekwa gerezani.
 
Katibu wetu wa chadema kata ya sokoni one Judith Mollel amefariki dunia
 
Mola waweke mahali pema peponi walioaga dunia kwa ajili ya kutafuta ukombozi wa nchi hii kutoka kwa mafisadi. Arusha ni mwanzo wa kutafuta ukombozi. Hata wawapige mabomu cdm watashinda tu. Watanzania tumewachoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…