The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Dotto Biteko anaangushiwa jumba MbovuTanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.
Hii picha inajielezea.
View attachment 2743927
Kuna ufa wing ya kulia ya Bwawa. Ufa umetokea kwenye construction joint kati ya blocks na zege. Sababu ni shrinkage
Ushahidi zaidi ya picha?Kamilisha habari yako tena Kwa ushahidi wa uhakika.
Picha za miaka 100 nyuma unaleta leo
BOQ inakuwa imejazwa vya kutosha ila ukisha ingia field ndiyo uchakachuaji unaanzaBOQ ifatiliwe
Na Mzee wetu yupo kauli yake hii asipoifuta kabla ya maisha mapya minguni ,sijui nani ataikemeaTanzanians are not serious at all things
Kichwa cha mwendawazimu
Ukiona hivuo ujue pumvi imekataPicha za moaka 100 nyuma unaleta leo
Unasemaaaaaaaaaaa!!!???π΅Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.
Hii picha inajielezea.
View attachment 2743927
Kuna ufa wing ya kulia ya Bwawa. Ufa umetokea kwenye construction joint kati ya blocks na zege. Sababu ni shrinkage
Aaah anahangaika kumtetea bibi yake. Shwain zake kadini hako ka bibi sikakubali hata 0000.1%Ukiona hivuo ujue pumvi imekata
Jjiwe kweli katupiga pakubwa ,apotelee mbali huko alipoTanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.
Hii picha inajielezea.
View attachment 2743927
Kuna ufa wing ya kulia ya Bwawa. Ufa umetokea kwenye construction joint kati ya blocks na zege. Sababu ni shrinkage
Bwawa hilo kajenga jjiweJanuary hajawahi kufanikisha jambo lolote zaidi ya kupiga tu
Samia ndio kajenga ilo bwawa?;Huyu alimaliza kila kitu. Lakini swali, kwa Sa100 alimuamini Makamba?
Fafanua mkuu,kivipi!?Kuna member hapa anaitwa @poisonous ...alisema hii hujuma itatokea....
Expansion joints au movement joints zinatengenezwa mkuu , haijitengeneziExpansion joint