Humfahamu Lisu vizuri mkuu, kwanza kafanya jambo la busara sana kupokea hizo 5M, karuka kiunzi vizuri sanaAlikataa ile hongo ya Abdul sasa Msigwa kamtumia Nchimbi.
Kuna issue Ccm wana itega kwa Lissu. Soon ita kuwa wazi. Usishangae Lissu akaenda kupokelea huo mchango Lumumba
Mchango huu angepewa Zito au Mbatia sijui uzi huu ungekuwa kwenye page ya ngapi sasa hivi.Kuachana nayo si sahihi, hiyo pesa haijatoka kwenye mfuko wa CCM, kwani Lissu hana ndugu wanachama wa CCM, nao awakatae! Hapana.
Itafuata masimango na pia ni drama ya kuzima uhuni uliofanywa na wale wanaoona wanaweza kufanya chochote bila kuhojiwa wakiamini ndio dola yenyewe.Hatuzitaki lissu asipokee hii politiki ya kinafiki kinachofwata watamuuliza zile walizochangia wananchi zimeenda wapi huo ni mtego.
Wengi hawajaelewa ila alichokifanya ndo sahih zaid kakikataa kimbola cha wanasisiemu kiulaini kabisa.Humfahamu Lisu vizuri mkuu, kwanza kafanya jambo la busara sana kupokea hizo 5M, karuka kiunzi vizuri sana
Aliyetoa ndege ya kumpeleka Lissu Nairobi alikuwa mwanaccm, Ssmia alikwenda Nairobi kumjulia hali hosipitali, na wengine wanaccm ni ndugu zake. Tujifunze kutofautisha chama na maisha ya mtu binafsi, mali yangu si mali ya Simba au Yanga au CCM au CUF.Mchango huu angepewa Zito au Mbatia sijui uzi huu ungekuwa kwenye page ya ngapi sasa hivi.
Ila kwa vile kapewa Lisu basi hakuna tatizo na watu wameandaliwa kabisa kuja kumtetea.
Tanzania Mbowe akienda kuonana na viongozi wakuu wa CCM kimya kimya, wakapatana yao bila taarifa za kueleweka haina shida.
Lisu akichangiwa na wana CCM haina shida. Ila shida ni pale tu hayo yaliofanywa na Mbowe pamoja na Lisu yakifanywa na mtu kama Lipumba au Mbatia.
Hii imefanya kina Lisu waamini kwamba bado wana kundi kubwa la wapumbavu nyuma yao. Wanaweza kufanya lolote na ikibidi hata kushirikiana hata na hao wanaojifanya kuwa maadui zao (CCM) kuihujumu nchi kwa vile wanajua fika kuwa baada ya hujuma hizo kuna mipumbavu itakayokuja kuwatetea na hivyo kuendelea kuishi kupitia siasa hizi za kupigania matumbo yao na familia zao.
Lissu ni Mtu wa Watu.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza wajumbe wa NEC alioongoza nao ziarani mkoani Mwanza na wanachama wa chama hicho mkoani humo wamemchangia Shilingi Milioni Tano Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Tundu Lissu ili kufanyia matengenezo gari yake.
Kada wa CCM, Mchungaji Peter Msigwa akiwa kwenye mkutano wa chama hicho kwenye uwanja wa Furahisha jijini Mwanza alimuomba Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi kuhamasisha wanachama wa CCM kumchangia Lissu ili gari hilo limuwezeshe kufanya shughuli za siasa.
Kwa upande wake, Dkt Emmanuel Nchimbi amesema siasa si uadui hivyo ni vyema kushikana mkono pale panapobidi kwani wanasiasa wote wanaijenga Tanzania.
Alipotafutwa kuzungumzia kitendo hicho kilichofanywa na CCM, Lissu amewashukuru CCM kwa mchango na kwamba atazipokea fedha hizo kama ambayo amekuwa akipokea kutoka kwa makundi tofauti ya watu.
"Nawashukuru, kama nilivyosema...hatukusema tunachangiwa na wanaChadema peke yao, kama nilivyotibiwa, sikutibiwa na wanaChadema peke yao. Kwa hiyo, wakichangia nitazipokea, sina sababu ya kukataa," amesema Lissu.
Mwananchi
Walitaka waseme eti unaona ni mbaguzi.....hahaha.Humfahamu Lisu vizuri mkuu, kwanza kafanya jambo la busara sana kupokea hizo 5M, karuka kiunzi vizuri sana
Etwege, Faiza fox na Malaria watapinga hii.Aliyetoa ndege ya kumpeleka Lissu Nairobi alikuwa mwanaccm, Ssmia alikwenda Nairobi kumjulia hali hosipitali, na wengine wanaccm ni ndugu zake. Tujifunze kutofautisha chama na maisha ya mtu binafsi, mali yangu si mali ya Simba au Yanga au CCM au CUF.
Kuna tofauti kati ya kuchangiwa na individuals ambao hawachangi kwa lebo ya CCM na kuchangiwa kupitia harambee ya CCM mkutanoni mwao. Ni vitu viwili tofautiWalitaka waseme eti unaona ni mbaguzi.....hahaha.
Ofcourse hata matibabu yake waliochanga pesa nyingi ni wale vigogo wenye mapenzi mema na wengine hadi walipata misuko suko kwa kumtibisha Lissu
Mtaji wa kisiasa? Kwa nani kwa hiyo hilo na wewe limekutoa kwa Lissu likakupeleka ccm?Lissu kategwa na CCM na kapitakana kizeeeembe kwelikweli.
Kuchangiwa na CCM ni tofauti na kuchangiwa na wanaCCM mmoja mmoja!.
Poor Lissu, kaingizwa kingi kilaini. Yaani ananyang'anywa mtaji wake wa Kisiasa hivihivi.
Kama kuna mtu yupo karibu na Lissu mwambieni aache, CCM wanaenda kuitumia hiyo incidence kisiasa na itademoralize watu wenye imani naye kisiasa sana!
Huyo afande anaitwa Awadh/Hafidh, alisimamia na kuliendesha zoezi la kuwapiga viingozi wa Chadema kule Mbeya.Ninakubaliana nawe sehemu kubwa.
Lakini hapo hapo elewa kwamba huko CCM siyo wote ni akina .... eeerrr-eerrr-eh, nani yule polisi anaitwa yule?
Huko ndani ya CCM sasa hivi kuna mashetani kweli kweli, wasioona kitu kingine zaidi ya kumpambania 'Chura Kiziwi'; lakini pia kuna watu wanaoweza kuaminika na kuheshimika; kama huyo Nchimbi.
Hivi kwa maoni yako, hii pesa iliyo changwa ni sawa na ile ya Abdul, ambayo Lissu amekuwa akiipigia kelele? Mimi naona tofauti kubwa.
Kiukweli, milioni tano si pesa ya kudhalilishwa nayo; kama lengo ni kufanya hivyo, Tundu Lissu aachane nayo.
Either way ni bora kupokea kuliko kukataa.Kuna tofauti kati ya kuchangiwa na individuals ambao hawachangi kwa lebo ya CCM na kuchangiwa kupitia harambee ya CCM mkutanoni mwao. Ni vitu viwili tofauti
Pesa yangu na hakuna anayenilazimisha kutoa utasemaje CCM imechanga, nyie ndio mnaosema mama Samia ametoa pesa kujenga mtaro!Kuna tofauti kati ya kuchangiwa na individuals ambao hawachangi kwa lebo ya CCM na kuchangiwa kupitia harambee ya CCM mkutanoni mwao. Ni vitu viwili tofauti
Wao kama wamefanya kwa unafiki Lissu hajali anachojua wametoa kwa moyo wao.Unafiq......
Ila kwa ninavyomjua Lissu mpunga kapokea na bado ataendelea kuwapiga spana kisawasawa
Mwenyewe kasema atazipokea, wewe unasema hazina nafasi!Hizo hela za Majini hazina nafasi kwa Lissu, Wapeni mnaowaita Wanyonge
Kuna kitu hukijuiMwenyewe kasema atazipokea, wewe unasema hazina nafasi!
Kuna kitu hukijui
Basi tulizanaHakika.
Yaani Msigwa hana impact yoyote huku CCM. CDM wala hawana time nayeHuyo afande anaitwa Awadh/Hafidh, alisimamia na kuliendesha zoezi la kuwapiga viingozi wa Chadema kule Mbeya.
Hapo kwenye mchango shida yangu imeanzia kwa Msigwa, huyu mtu wote tumekuwa tukiona kazi anayoifanya tangu ajiunge CCM, ni kama vile Mbowe na Chadema ndio agenda yake kuu.
Sasa leo ametoa wazo la kuchangiwa Lissu, wazo ambalo Nchimbi amelifanyia kazi kwa vitendo, kwa tabia ya Msigwa "mdomo mdomo" naamini Lissu asubiri tu "mkate" wake toka kwa Msigwa.