CCM wenye akili na vyama vya upinzani wote wamegoma kucheza ngoma ya Makonda

Ningependa kujua ukweli: Paul christian makonda na daud Albert Bashite ni watu wawili tofauti au ni mtu mmoja?
 
Imenibidi niangalie ID yako mara mbilimbil. Kumbe sametimes akili huwa zinakuludia?
 
Mwache apige sanaa zake akishamaliza kazi aliyotumwa atatupwa kama toilet paper hataamini.
 
Ningependa kujua ukweli: Paul christian makonda na daud Albert Bashite ni watu wawili tofauti au ni mtu mmoja?
According to Gwajima,Paul Makonda the real name ni Albert Bashite...
 
Kama unasoma trend za nyuzi zake

Huyu Big yeye hampendi Makonda sababu ni alikuwa mtu wa Magufuli na Hadi Leo Makonda role Model wake ni Magufuli

Huyu Big yeye ni mfuasi wa Mama na Dini ya Mnyazi Mungu , anachoumia ni popularity anayopata Makonda tu basi na si kingine

Yote kwa yote , siasa ni Sabotage , Manipulation na Sympathy hivi vyote Makonda kaviweza na amewin , wengine wameshindwa na kinachombemba zaidi anatumia Magufuli Style ambayo ndio definition ya Siasa za Tanzania kwa Sasa , ili ukubalike fanya Magufuli Style
 
Kiasi flani uko sahihi,kiasi flani hauko sahihi.

Ni kweli Mimi ni mfuasi wa Samia lakin siyo Kwa mrengo huo unaosema.

Siyo kweli kuwa namchukia Bashite,kutoa mtazamo wangu msela hutakiwi kujenga chuki,huu ni mtazamo TUH...
 
Makonda ni levo Moja na kina Mwamposa wanaomfwata ni wale wanaotazamia miujiza ktk maisha Yao ambao ni 75% ya wananchi wa nchi hii
 

Upo sahihi sana. Ukimtazama Makonda na historia yake, unaona kabisa ni mtu aliyebeba roho ya shetani na mwenye hila zote za shetani. Mkis
hadaika tu, lazima mjute. Fikiria huyu ndiye mtu alipanga na kusimamia zoezi zima la kutaka kumwua Lisu, mtu ambaye hakuwa na hatia yoyote, lakini kwake kuyaondoa maisha ya Lisu lilikuwa ni jambo la kumfurahisha na kujivunia, kama angefanikiwa.
 
Ccm na Mwenyekiti wake waliompa hicho cheo wanafahamu yote hayo ila walimpa uenezi kwa sababu wanazojua wao.
 
Ni Wivu tu. Aliyemteua anajua how Makonda is smart and potential. Ni mtu anayeamua kufuga mbwa namna na rangi gani. Kama Rais katika woooote kaona huyo ndo the best we ni nani unamkosoa?
 
Ni Wivu tu. Aliyemteua anajua how Makonda is smart and potential. Ni mtu anayeamua kufuga mbwa namna na rangi gani. Kama Rais katika woooote kaona huyo ndo the best we ni nani unamkosoa?
So wewe unatuambia chochote anachosema/anachofanya rais ni sahihi? Kwamba akishakuwa tu rais basi hata akikulisha kinyesi kwako ndio the best meal you deserve!
Unamwondolea rais ubinadamu na kumpa u-Mungu?
 
utakufa Vibaya sana
 
Wakisema CCM chama maana yake kina kila aina ya wataalamu.

Kila mtu anajua they can ‘rig election’ kwa katiba ya sasa na kushinda. Ila mule ndani kuna watu wamebobea kwenye siasa wanafahamu umuhimu wa kupata ridhaa ya wananchi au kuonekana wanayo.

Makonda hayupo kwa sababu ya kufurukana na CDM (unless inapobidi) au kufurahisha chawa wa mama (ambao wengi ni anti-Magufuli) au wanaomuunga mkono kwa sababu za kidini.

Makonda yupo kwa sababu ya strategists wa chama, atimize lengo lao (washauri wa raisi Ikulu na kwenye chama wanaoangalia siasa kwa uhalisia).

Kazi ya strategists ni kutoa mapendekezo how best to trouble shoot the problem of declining support ya raisi and how best to mobilise support ya chama kwa wapiga kura ‘charm offensive’ (hiyo ndio kazi anayofanya Makonda).

Huyo Rajabu Lhuwavi mshauri wa raisi kwenye maswala ya siasa ni Mzanzibari (alikuwa mshauri wa JK pia kwenye siasa na ndio aliemleta Magufuli) CV yake inajumuisha senior army officer wa JWTZ (kapigana vita Kagera), mtaalamu wa siasa, diplomat nyuma ya pazia (kabla ya hata kupewa ubalozi na Magufuli) na ukisikia walinzi wa chama ndio watu wa aina hiyo (wao wanachojali ni Tanzania kwanza na CCM) nothing else matters, huyu ndio aliewafunga uhamsho sio Kikwete.

Kama sio umri Lhuwavi ana sifa za kuwa mkurugenzi wa TISS unadhani watu kama hawa as strategist wanajali chawa mnafikiria nini au wanasiasa ambao ascendancy yao ni connection ya baba zao, au awajui how rotten the system is na warekebishe vipi kupata kura.

Don’t waste your time kudhani huko CCM muda huu watakusikiliza ujinga utakaoandika kuhusu Makonda. Eti CCM halisi, unaijua CCM halisi wewe au unaropoka tu.

Personally, sijui Makonda amepikwa vipi na yupo level gani; ila anachofanya ni kazi ya system bila ya yeye kujua au kuto kujua.

Nje ya chawa, ‘bi-tozo’ ana maisha halisi ya kutaka support ya wananchi. We unadhani ukija hapa kutetea teuzi zake za kidini ndio mwisho wa support anazotaka kisiasa kuelekea uchaguzi ujao.
 
So wewe unatuambia chochote anachosema/anachofanya rais ni sahihi? Kwamba akishakuwa tu rais basi hata akikulisha kinyesi kwako ndio the best meal you deserve!
Unamwondolea rais ubinadamu na kumpa u-Mungu?
Wewe umeshalishwa? Umekionaje?
 
Mnalishwa Kila kitu na kumeza bila ata kutafuna..ukiulizwa hapo una ushahidi utabaki ukikenua kijampio tu

Stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…