Bad Timing Mkuu, CHADEMA wameenda siku ambayo Chief Hangaya akiwa huko kuwapa pole wahanga.

SIDHANI KAMA WANGEPATA UGUMU KAMA WANGEENDA SIKU TOFAUTI NA MH. RAIS

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kwahiyo watu wate huko hawataruhisiwa kuwepo au kuenda Hadi huyo mkuu wa nchi aondoke?
 
Bad Timing Mkuu, CHADEMA wameenda siku ambayo Chief Hangaya akiwa huko kuwapa pole wahanga.

SIDHANI KAMA WANGEPATA UGUMU KAMA WANGEENDA SIKU TOFAUTI NA MH. RAIS

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Hayo ndio madhara ya kuingia madarakani kwa kupora chaguzi za nchi. Kwakuwa unajijua huna uhalali wa umma, ukisikia wenye uhalali wa umma unapata unknown fear.
 
Rais sio Mungu, labda nyie chawa ndio mnadhani rais mmiliki wa majanga humu nchini.
Ni kweli Rais sio Mungu ila nenda kapite kwenye msafara wake bila utaratibu uone kitakachotokea. Wewe ni shujaa wa JF tu
 
Ni kweli Rais sio Mungu ila nenda kapite kwenye msafara wake bila utaratibu uone kitakachotokea. Wewe ni shujaa wa JF tu
Nani anataka kupita kwenye msafara wake. Hiyo ni hofu kwakuwa mnaingia madarakani bila ridhaa ya umma.
 
Pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…