CHADEMA wasitisha safari kuelekea Katesh-Hanang kuwafariji wahanga wa mafuriko kutokana na vikwazo walivyowekewa
UBAGUZI KATIKA MAAFA YA MANYARA NI AIBU KWA TAIFA!
View attachment 2835774
Ndugu Watanzania!

Kuna taarifa kuwa Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Manyara limemzuia Mhe. Freeman Mbowe kufika eneo la maafa likisingizia kuwa limepata maagizo ya kutoka juu. Sisi Askofu tunaamini kuwa hakuna maagizo yeyote kutoka zaidi ya hofu za wanasiasa wa Manyara. Sisi hatuamini kama Rais Samia au Waziri Mkuu Majaliwa na wao wanaweza kutoa amri hizo.

Sisi Askofu tunatoa wito kwa Waziri mwenye dhamana kutoka kueleza umma nini kimetokea hadi Jeshi la Polisi likazuia Mhe Mbowe kufika Manyara. Mbona jana alikuwepo msibani kwa Askofu Kweka? Je, kwa nini Mbowe azuiwe kuwatembelea hao wahanga wakati wengine ni wafuasi wake? Je, Jeshi la Polisi halijui kama Mbowe ni kiongozi wa kitaifa katika nchi hii? Askofu au Sheikh akitaka kutembelea Manyara atazuiwa? Je, UN wakitaka kwenda huko pia watazuiwa? Taharuki ya nini kwenye maafa?

Hivi ni taifa gani hili ambalo watu hubaguana hata katika maafa kama hayo? Je, serikali iko tayari kupokea misaada ya kutoka nje ya nchi wakati inakataa misaada kutoka kwa wananchi wake wengine kama viongozi wa upinzani?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

Dar es Salaam, 7 Desemba 2023; 9:30 alasiri
Kama ni kweli ni kama kurudi nyuma miaka 500 kutoka uhuru 1960 maana haya ndiyo tunayoyasoma miaka hiyo ya nyuma.
 
CHADEMA NI WAPUMBAVU NA MALOFA, HAWANA AKILI, WAJINGA NA WASIOTUMIA MAWAZO.

Maafa yametokea siku zaidi ya 5 huko leo wanasikia Rais anaenda na wao wanajifanya kwenda.
 
Kwa hiyo wao unataka waende ln?Kwani kuna ratiba maalum ya kwenda hanang kuwafariji wahanga?au ulitaka waende mwaka Kesho?Kwani baada ya kufika wanpewa utaratibu WA kufuata kulikuwa na shida gani?
Waende tu!
 
UBAGUZI KATIKA MAAFA YA MANYARA NI AIBU KWA TAIFA!
View attachment 2835774
Ndugu Watanzania!

Kuna taarifa kuwa Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Manyara limemzuia Mhe. Freeman Mbowe kufika eneo la maafa likisingizia kuwa limepata maagizo ya kutoka juu. Sisi Askofu tunaamini kuwa hakuna maagizo yeyote kutoka zaidi ya hofu za wanasiasa wa Manyara. Sisi hatuamini kama Rais Samia au Waziri Mkuu Majaliwa na wao wanaweza kutoa amri hizo.

Sisi Askofu tunatoa wito kwa Waziri mwenye dhamana kutoka kueleza umma nini kimetokea hadi Jeshi la Polisi likazuia Mhe Mbowe kufika Manyara. Mbona jana alikuwepo msibani kwa Askofu Kweka? Je, kwa nini Mbowe azuiwe kuwatembelea hao wahanga wakati wengine ni wafuasi wake? Je, Jeshi la Polisi halijui kama Mbowe ni kiongozi wa kitaifa katika nchi hii? Askofu au Sheikh akitaka kutembelea Manyara atazuiwa? Je, UN wakitaka kwenda huko pia watazuiwa? Taharuki ya nini kwenye maafa?

Hivi ni taifa gani hili ambalo watu hubaguana hata katika maafa kama hayo? Je, serikali iko tayari kupokea misaada ya kutoka nje ya nchi wakati inakataa misaada kutoka kwa wananchi wake wengine kama viongozi wa upinzani?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

Dar es Salaam, 7 Desemba 2023; 9:30 alasiri
Polisi na TISS wanaamini kwamba Tanzania nzima ni CCM
 
Hii inaonesha utawala bora sasa hivi hakuna nchi inakwenda bila pilot. Sijui hata kama watawala wenyewe wanajua dhamana yao kama wameiachia polisi kuendesha nchi. Binafsi siasa siyo mapenzi yangu lakini kama Rais anachukua muda kujua kuwa hili siyo dawa na kulikemea ni nani atakuwa na imani naye hapa nchini!
 
Nyinyi askofu Ina MAANA hamjui kwamba Leo mh. Rais alikuwa yupo huko Hanang?? Ni kwanini hao CHADEMA wapange ziara Leo kama kweli Wana lengo zuri na sio show off... Wasubiri amiri jeshi mkuu aondoke kwanza halafu nao wataingia wakae Hadi mavuno walitaka.. nyinyi askofu tendeni haki na muwe mnafikiria sawasawa sio Kila saa tu lawama

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Kama ni hivyo Rais anayejua kuwa ni Rais wa Watanzania wote angejua kuwa huu ni msiba wa kitaifa na angekuwa wa kwanza kuwashirikisha upinzani wote kuonesha ni msiba wa Taifa siyo wa CCM! Kwani nchi yetu ingeingia vitani angefanyeje? Watu hawafikiri sana. Mnaingia kwenye siasa kama mahala pa itifaki na mbwembwe tu. Nashangaa. Poleni wananchi.
 
UBAGUZI KATIKA MAAFA YA MANYARA NI AIBU KWA TAIFA!
View attachment 2835774
Ndugu Watanzania!

Kuna taarifa kuwa Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Manyara limemzuia Mhe. Freeman Mbowe kufika eneo la maafa likisingizia kuwa limepata maagizo ya kutoka juu. Sisi Askofu tunaamini kuwa hakuna maagizo yeyote kutoka zaidi ya hofu za wanasiasa wa Manyara. Sisi hatuamini kama Rais Samia au Waziri Mkuu Majaliwa na wao wanaweza kutoa amri hizo.

Sisi Askofu tunatoa wito kwa Waziri mwenye dhamana kutoka kueleza umma nini kimetokea hadi Jeshi la Polisi likazuia Mhe Mbowe kufika Manyara. Mbona jana alikuwepo msibani kwa Askofu Kweka? Je, kwa nini Mbowe azuiwe kuwatembelea hao wahanga wakati wengine ni wafuasi wake? Je, Jeshi la Polisi halijui kama Mbowe ni kiongozi wa kitaifa katika nchi hii? Askofu au Sheikh akitaka kutembelea Manyara atazuiwa? Je, UN wakitaka kwenda huko pia watazuiwa? Taharuki ya nini kwenye maafa?

Hivi ni taifa gani hili ambalo watu hubaguana hata katika maafa kama hayo? Je, serikali iko tayari kupokea misaada ya kutoka nje ya nchi wakati inakataa misaada kutoka kwa wananchi wake wengine kama viongozi wa upinzani?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

Dar es Salaam, 7 Desemba 2023; 9:30 alasiri
Swala hapa ukiachana na maswala mazito kama aya ya ndugu zetu manyara, ifike sehem ccm popote nchini wachia matatizo yao wazikane wao kwa wao
 
Wanafiki tuu, kwenye Kampeni wanatumia helcopter eti kamanda wa anga. Maafisa yametokea hatuoni hiyo helcopter insokoa watu halafu wanapenda kupiga siasa uchwara kwenye maafa?
Huna akili wewe, chadema imekata inchi, zile helcopter zilienda kule zilibeba watu wangapi ,pumbavu
 
Si ndio wangejupendekeza kwa wananchi kwenye matatizo ili waonekane Bora zaidi kwa kuwahi kutoka watu? Sasa kwenye Kampeni wanaokula Bata hewani na helcopter kwenye maafa hatuzioni si ubinafsi huo?
 
UBAGUZI KATIKA MAAFA YA MANYARA NI AIBU KWA TAIFA!
View attachment 2835774
Ndugu Watanzania!

Kuna taarifa kuwa Jeshi la Polisi katika Mkoa wa Manyara limemzuia Mhe. Freeman Mbowe kufika eneo la maafa likisingizia kuwa limepata maagizo ya kutoka juu. Sisi Askofu tunaamini kuwa hakuna maagizo yeyote kutoka zaidi ya hofu za wanasiasa wa Manyara. Sisi hatuamini kama Rais Samia au Waziri Mkuu Majaliwa na wao wanaweza kutoa amri hizo.

Sisi Askofu tunatoa wito kwa Waziri mwenye dhamana kutoka kueleza umma nini kimetokea hadi Jeshi la Polisi likazuia Mhe Mbowe kufika Manyara. Mbona jana alikuwepo msibani kwa Askofu Kweka? Je, kwa nini Mbowe azuiwe kuwatembelea hao wahanga wakati wengine ni wafuasi wake? Je, Jeshi la Polisi halijui kama Mbowe ni kiongozi wa kitaifa katika nchi hii? Askofu au Sheikh akitaka kutembelea Manyara atazuiwa? Je, UN wakitaka kwenda huko pia watazuiwa? Taharuki ya nini kwenye maafa?

Hivi ni taifa gani hili ambalo watu hubaguana hata katika maafa kama hayo? Je, serikali iko tayari kupokea misaada ya kutoka nje ya nchi wakati inakataa misaada kutoka kwa wananchi wake wengine kama viongozi wa upinzani?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!

Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

Dar es Salaam, 7 Desemba 2023; 9:30 alasiri
Serikali ya wajinga na maamuzi ya kijinga.
 
Back
Top Bottom