Kwani bado kuna chama kinaitwa TLP...!!!😕😕😕😕Hiyo Ndio demokrasia
Kama hujajipanga unajiandaa kwa wakati mwingine
TLP itatoa ushindani sasa
wangeshiriki vipi wakati wanakatwa?Kwani hata kama mngeshiriki mgeshinda? Mmekimbia aibu ambayo mngepata, hamna lolote
Wajinga, wamesaidia kampeni ya kuhamasisha watu wakajiandikishe, mwishoni wanajitoa haina maana. Sisi wengine tuliliona hili mapema na tulishauri wasishiriki lkn hatukusikilizwa.Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili
Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha Kamati Kuu ya dharura ya chama kilichofanyika mkoani Dodoma
Jana, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema alisema Kamati hiyo itakutana leo kutoa msimamo wao wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Pia soma
Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa
Huyo anayeandika "Amekizi vigezo" ni mtumishi anayelipwa na serikali?!www.jamiiforums.com
Nadhani CHADEMA kujitoa ni sahihi na itarudisha imani kwa wanachama wake, kinachofanywa na chama changu (CCM) ni uhuni uliokithiri. Nasikitika sana kuona chama na serikali wanafanya mambo ya kitoto kiasi hicho. M/kiti wangu na raisi wa nchi hapo unafeli sana na kututia aibu sisi wanaCCMAfadhali wametuokolea mda na gharama japo hizo gharama sijui km zitarudishwa serikalini.
Lkn gharama na hasara ya chadema kujitoa ni kubwa kwa baadae kuliko ambavyo ingeshiriki lkn hii dhana inahitaji kwa mtu mwenye jicho la mwewe ndio ajue ninamaanisha nini,
Afadhali wametuokolea mda na gharama japo hizo gharama sijui km zitarudishwa serikalini.
Lkn gharama na hasara ya chadema kujitoa ni kubwa kwa baadae kuliko ambavyo ingeshiriki lkn hii dhana inahitaji kwa mtu mwenye jicho la mwewe ndio ajue ninamaanisha nini,
TLP mgombea wao wa urais ni Magufuli sasa wajitoe wapi?Ni vizuri sasa ACT,NCCR,CUF na TLP Nao watoe tamko kususia uchaguzi.
Siku utakapokosa hyo buku 7 usije na id mpya kulalamaHiyo Ndio demokrasia
Kama hujajipanga unajiandaa kwa wakati mwingine
TLP itatoa ushindani sasa