Nilijua tu huu si uchaguzi ni upumbavu mtupu ndio maana sikujisumbua kujiandikisha, jitu linakimbia moshi ruangwa linakuja kumalizia hasira upinzani, huwezi kulazimisha mapendo hata siku moja, kama hupendwi hupendwi tu, haya CCM kamateni mioyo ya watatnzania kwa nguvu sasa...
Ni maamuzi mazuri...kwa maslahi mapana ya Taifa, imagine mtu anachukua form ya kugombea halafu anaenda Kupigwa mapanga usiku ..au mwingine amejaza form vzr anaambiwa amekosea...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili
Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha Kamati Kuu ya dharura ya chama kilichofanyika mkoani Dodoma
Jana, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itikadi, Uenezi na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema alisema Kamati hiyo itakutana leo kutoa msimamo wao wa mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Wajinga, wamesaidia kampeni ya kuhamasisha watu wakajiandikishe, mwishoni wanajitoa haina maana. Sisi wengine tuliliona hili mapema na tulishauri wasishiriki lkn hatukusikilizwa.
Kanali kinana,luteni makamba,Kanali kikwete, comrade mangula,cigwiyemisi john malechela,mkapa,mzee msekwa na wengine wakongwe,hapa ndo pakuonyesha ukomavu wenu.
Jahazi linaanza kutoboka hivyo.
Magufuli has really outlived his usefulness. He was accorded with the job that does not commensurate with his abilities and experience. He is a disgrace to the country.
Afadhali wametuokolea mda na gharama japo hizo gharama sijui km zitarudishwa serikalini.
Lkn gharama na hasara ya chadema kujitoa ni kubwa kwa baadae kuliko ambavyo ingeshiriki lkn hii dhana inahitaji kwa mtu mwenye jicho la mwewe ndio ajue ninamaanisha nini,
Nadhani CHADEMA kujitoa ni sahihi na itarudisha imani kwa wanachama wake, kinachofanywa na chama changu (CCM) ni uhuni uliokithiri. Nasikitika sana kuona chama na serikali wanafanya mambo ya kitoto kiasi hicho. M/kiti wangu na raisi wa nchi hapo unafeli sana na kututia aibu sisi wanaCCM
Kubwa kwa Demokrasia ya Tanzania sio Chadema. Hivi kwa akili za kwawaida hauoni jinsi viongozi wanavyosulubiwa? Sasa unataka waingie kwenye kampeni ili wananchi wakapigwe mabomu, vitungu, maji ya kuwashwa na kufungwa juu. Ebu fikilia tena naona jicho lako la mwewe halioni mbali. Wenzako wameangalia kwa jicho la Tai linaloona umbali wa km 8 clearly.
Afadhali wametuokolea mda na gharama japo hizo gharama sijui km zitarudishwa serikalini.
Lkn gharama na hasara ya chadema kujitoa ni kubwa kwa baadae kuliko ambavyo ingeshiriki lkn hii dhana inahitaji kwa mtu mwenye jicho la mwewe ndio ajue ninamaanisha nini,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.