Mimi mbona wakike na nachinja kuku vizuri tu!Ni sahihi. Nipo kwenye harakati. Nataka mrithi wangu. Siwezi kuwa nafukuza kuku baba mzima wa kuchinja Pasaka hii.
Nikisafiri saa moja wameshajifungia ndani. Wanaogopa.
Mtu kuendeleza jamii yake we unasema katumwa nananUpi?
Wewe hauna ndugu zako wengine katika ukoo wenu watakaozaa watoto wa kiume??Wanaendeleza kwaukoo wanani wakat watoto watakao wazaa niwaukoo mwingine
Sasa jamii yako kuendelea kuzaana kwa wingi kuna faida gani mahususi kwako, kwa nchi au kwa dunia??Mtu kuendeleza jamii yake we unasema katumwa nanan
Unamaanisha ukoo au jina lako binafsi?? Haiwezekani ukoo wenu ukaisha kwa sababu ya wewe mtu mmoja kutokuwa na mtoto wa kiume. Koo za Obama, Bush Jr au Putin haziwezi kuisha kwa sababu ya wao kutokuwa na watoto wa kiume.
Kwa hiyo usipozaa mtoto wa kiume jina la tatu la ukoo wenu litapotea??Mkuu hakuna jina binafsi!
Wewe hukujipa hayo majina uliyonayo.
Ulizaliwa ukapewa majina matatu.
La kwanza ni lako, la pili la baba yako, la tatu la ukoo wako.
Jina la kwanza ulipewa na baba yako, jina la pili baba yako alipewa na baba yake, jina la tatu baba yako na yeye kalikuta, ni la ukoo wenu. 😊
Nyongeza; Jina lako la kwanza ulipewa sababu ya jinsia yako, Janeth hawezi kuitwa John, na kinyume chake.
Masikini makupuku wa Africa wasio na chochote cha maana hasa maeneo ya bara ndio zaidi wana mawazo ya aina hii.
Kwa hiyo usipozaa mtoto wa kiume jina la tatu la ukoo wenu litapotea??
It doesn't make sense.
Acha kunipangia maisha dogo.Tukiambiwa Watanzania wengi UWEZO WETU WA KUFIKIRI BADO NI FINYU NI Kwenye mambo kama haya
Wafuatao wana watoto wa kike tu
1. Aliko Dangote
2. Vladmir Putin
3. Barack Obama
4. George Bush
5. The Rock
6. Kobe Bryant
7. Matt Damon
8. Mwenye Impala Hotel ya Arusha (marehemu)
Na wengine wengi, naelewa unachopitia
Ishi kwa wakati uliopo hata ww ulipo huna ukaribu na baba yako kivile
Swala la urithi litaamuliwa na utakaowaacha
Mtoto wa kiume anaejielewa hata huo urithi atakua hana muda nao na yeye atahangaika atengeneze MJI wake kama wewe baba yake
“ENJOY MAISHA, ISHI WAKATI ULIOKO”
Chakata mkeo vya kutosha
Furahia kwa hapo ulipofika
Nipe mkeo akuletee Dume, niachie nimchakatd kwa saa 24 tu zinatoshaAcha kunipangia maisha dogo.
Pumbavu.
Bado sielewi tatizo liko wapi kwenye ukoo wenu wewe mtu mmoja usipozaa mtoto wa kiume.Tajiri, watoto wako wa kike hata wawe 200, watoto wao hatachukua jina la ukoo wako. Watapewa majina ya koo zingine, wao na watoto wao. Hakuna mwanaume atazaa na mtoto wako na kumpa jina la ukoo wako.
Hongera sana mkuu kwa zawadi hii uliyobarikiwa nayo.Na declare interest. Mi ni Baba wa watoto 4 wote wa kike. Mtoto Mkubwa yupo Form 3 na mdogo yupo Class four.
Watoto wa kike wanabeba damu yako kama tu watoto wa kiume. Kuhusu jina ni kweli, hawaendelezi jina ila pia kinachoendelezwa si jina lako, ni jina la jamaa fulani hivi huko nyuma mmelibeba kama jina la ukoo mnaliendeleza.Changamoto ya Kwanza ndio mrithi wa familia na atakayeendeleza Jina na damu yangu. So kukosa mtoto wa kiume hadi sasa sina mrithi wa mali yangu na atakayeendeleza jina langu.
Rais Obama mwenyewe hana mtoto wa kiume ila jina lake ndilo litadumu na kuwatambulisha ukoo wa Obama milele tofauti na wale Obama wengine walio na watoto kumi wa kiume. Waafrika wengi wana ujinga wa kudumu.Hongera sana mkuu kwa zawadi hii uliyobarikiwa nayo.
Watoto wa kike wanabeba damu yako kama tu watoto wa kiume. Kuhusu jina ni kweli, hawaendelezi jina ila pia kinachoendelezwa si jina lako, ni jina la jamaa fulani hivi huko nyuma mmelibeba kama jina la ukoo mnaliendeleza.
Tofauti na watoto wa kiume, watoto wa kike hawaendelezi jina la ukoo ila DNA yako inaendelea. Mjukuu wako akipimwa DNA, utaonekana.
Kama umekosa mwanaume na unahitaji sana kuendeleza jina la ukoo, alternative nzuri ya kuendeleza jina ni kufanya jambo ambalo jina litaishi na kuendelezwa na jamii.
Kuna mzee mmoja alijenga bomba la maji shule fulani hivi mikoani, Wanafunzi wakapachika Lile eneo lenye bomba jina la mzee. Aisee, miaka na miaka imepita, mzee alishafariki ila mpaka leo lile eneo jina lake limeendelea kuwepo. Na uwezekano ni kuwa jina litaendelea kuishi katika hilo eneo.
Imagine Obama, wanasema ni mkenya. Jina Obama pengine wapo watu wameliendeleza kwa kuzaa watoto, ila B.Obama kaliendeleza kwa kuwa raisi wa USA na hilo jina litaishi mno.
Hayo mengine kama kuchinjiwa kuku na kuuguzwa si guarantee. Watoto wanakaa nyumbani muda mchache mno, shule na kazi zinawaweka mbali na nyumbani. Mkeo ndo angalau anaweza kukuuguza.
Muongezee naTukiambiwa Watanzania wengi UWEZO WETU WA KUFIKIRI BADO NI FINYU NI Kwenye mambo kama haya
Wafuatao wana watoto wa kike tu
1. Aliko Dangote
2. Vladmir Putin
3. Barack Obama
4. George Bush
5. The Rock
6. Kobe Bryant
7. Matt Damon
8. Mwenye Impala Hotel ya Arusha (marehemu)
Na wengine wengi, naelewa unachopitia
Ishi kwa wakati uliopo hata ww ulipo huna ukaribu na baba yako kivile
Swala la urithi litaamuliwa na utakaowaacha
Mtoto wa kiume anaejielewa hata huo urithi atakua hana muda nao na yeye atahangaika atengeneze MJI wake kama wewe baba yake
“ENJOY MAISHA, ISHI WAKATI ULIOKO”
Chakata mkeo vya kutosha
Furahia kwa hapo ulipofika
Kabisa mkuu.Rais Obama mwenyewe hana mtoto wa kiume ila jina lake ndilo litadumu na kuwatambulisha ukoo wa Obama milele tofauti na wale Obama wengine walio na watoto kumi wa kiume. Waafrika wengi wana ujinga wa kudumu.
Asikate tamaa na pia amtangulize sana Mungu kwenye maombi yake 😀Swahiba Mgagaa na Upwa huyu amekuwa kama sisi miaka ile.
Hapa tumshauri asikate tamaa mana si ajabu ajaye naye akabadilisha. 😂😂
Bado sielewi tatizo liko wapi kwenye ukoo wenu wewe mtu mmoja usipozaa mtoto wa kiume.
Pia sioni umuhimu wowote wa watoto kuchukua jina la ukoo. Sioni tija yoyote kuwa na jina la ukoo fulani kwa nchi kama ya Tanzania ambapo hata huwezi kulitumia hilo jina la ukoo kukubeba kupata ajira nzuri au dili. Mfano Madaraka Nyerere ni mtu wa kawaida tu pamoja na kuwa na jina kubwa sana la ukoo.