#COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?
Kinachonitisha kwenye hii chanjo ni ile kusema serikali haitohusika na changamoto yoyote itakayojitokeza mtu akichanjwa.

Ni vizuri basi wangeweka wazi, ni side effects gani mtu anaweza kuzipata endapo atachanjwa. Waelimishe ukichanjwa unaoaswa/hupaswi kufanya nini.

Lile tamko limekaa kwa serikali kujihami sana.
 
Serikali huwa inahusikaga kwenye side effects za dawa unazopewa hospitalini?

Ukichanja;

1:Haikuzuii kupata maambukizi mapya ya COVID.

2:Haikuzuii kueneza/kusambaza hayo maambukizi kwa wengine.

3: Haikuzuii KUFA KWA CORONA.(Tulikuwa tunaambiwa baada ya chanjo basi itakukinga usiwe kwenye hatari ya kupata madhara makubwa kama asiyechanja ila Kwa report ya juzi hata wenye two shots wanavuta Kwa COVID.)

Nini sasa tofauti ya aliyechanjwa na asiyechanjwa?

Kwa mwenye akili timamu nadhani anaweza kuona yupi yupo timamu na yupi hamnazo kati ya hizo pande mbili.

Watu wachanje Kwa kuwa chanjo inaambatana na cheti ambacho ni Travel document kwa sasa ila hayo mengine ni ubatili mtupu.

Ni sawa na kuambia watu wafanye tohara kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya zinaa ila baada ya tohara mnawakomalia tena waendelee kutumia Condom kwa kinga dhidi ya magonjwa.

Sasa watajuaje ufanisi wa Tohara?

To each their own.
 
Serikali huwa inahusikaga kwenye side effects za dawa unazopewa hospitalini?
Haihusiki lakini daktari huwa ananiambia nikiona hali hii nijue ni kawaida ama hii na hii nirudi tena hospitali.

Na nachelea kusema hujaelewa nilichoandika japo nimekujibu tu.
 
Ona hii ngumbaru nyingine haitaki kutumia condom kwa sababu imetahiriwa.
Ukichanja;

1:Haikuzuii kupata maambukizi mapya ya COVID.

2:Haikuzuii kueneza/kusambaza hayo maambukizi kwa wengine.

3: Haikuzuii KUFA KWA CORONA.(Tulikuwa tunaambiwa baada ya chanjo basi itakukinga usiwe kwenye hatari ya kupata madhara makubwa kama asiyechanja ila Kwa report ya juzi hata wenye two shots wanavuta Kwa COVID.)

Nini sasa tofauti ya aliyechanjwa na asiyechanjwa?

Kwa mwenye akili timamu nadhani anaweza kuona yupi yupo timamu na yupi hamnazo kati ya hizo pande mbili.

Watu wachanje Kwa kuwa chanjo inaambatana na cheti ambacho ni Travel document kwa sasa ila hayo mengine ni ubatili mtupu.

Ni sawa na kuambia watu wafanye tohara kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya zinaa ila baada ya tohara mnawakomalia tena waendelee kutumia kinga.

Sasa watajuaje ufanisi wa Tohara?

To each their own.
 
Ufunuo wa Yohana 13:16
Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;

Ufunuo wa Yohana 13:17
tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.

Ufunuo wa Yohana 13:18
Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
 
Hii ndiyo Tanzania watu wanaogopa chanjo kuliko Corona !!!!
 
Kua na akili timamu. Sio kila kitu tulingane kimawazo, wewe chanja ili uishi milele inatosha.

Sisi wengine tunalindwa na Damu na Yesu sio hayo machanjo. ( wapo wanaobeza tukisema damu ya Yesu inatulinda, wanauliza hujawahi kuchanjwa? Jibu ni kua. Mambo ya rohoni hufunuliwa kwa Watu wa rohoni pekee.

Toka lini ati Corona iwe Kikwazo kumuabudu Mungu alie hai? Ati masaa yapunguzwe ya Ibada kisa Corona. Yaan inahitaji kiwango kikubwa cha Upumbavu kuhofia corona.
 
Serikali huwa inahusikaga kwenye side effects za dawa unazopewa hospitalini?
It is not an uncommon phenomenon for patients to sue drug companies, even when the drugs have been 100% approved.

Utata wa Covid-19 vaccines ni kwamba zimepitishwa kama emergency vaccines, we all know what happens during an emergency (chochote kinaweza tokea) na katika hilo drug companies hazihusiki tena na madhara ya hiyo chanjo kwa mtumiaji sababu ilitolewa wakati wa emergency (and everyone knew chochote kinaweza tokea).

Kama drug companies hazitahusika maana yake Serikali inatakiwa ihusike kwa wananchi wake na ndio maana chanjo zimeletwa kupitia serikali. And since the government is not aware of the effects njia pekee ni kumfanya mtumiaji asiigeukie tena serikali pale madhara yatakapo tokea, Ni kama inakwambia chanjwa at your own risk ( Chochote kinaweza tokea).

At your own risk maana yake wewe mchanjwaji unatakiwa ufanye maamuzi yako binafsi. Ukiamua kuchanjwa maana yake COVID-19 ni tatizo kubwa worth taking that risk, but is it?

The only way to know if the vaccine works is by testing na sio theories. lets say they tested the vaccines for the past 12 months, but what about for the next 10 years?

Kama hamuoni sense katika kile gwajima anachokisema basi ni ninyi ambao ni wajinga.

Every drug and vaccine we take has negative effects, but we use them because they have been experimented and the negatives of not using them are significant compared to the negatives of using. We can't literally say the same with covid vaccines, can we?
 
Andika kwa kiswahili
It is not an uncommon phenomenon for patients to sue drug companies, even when the drugs have been 100% approved.

Utata wa Covid-19 vaccines ni kwamba zimepitishwa kama emergency vaccines, we all know what happens during an emergency (chochote kinaweza tokea) na katika hilo drug companies hazihusiki tena na madhara ya hiyo chanjo kwa mtumiaji sababu ilitolewa wakati wa emergency (and everyone knew chochote kinaweza tokea).

Kama drug companies hazitahusika maana yake Serikali inatakiwa ihusike kwa wananchi wake na ndio maana chanjo zimeletwa kupitia serikali. And since the government is not aware of the effects njia pekee ni kumfanya mtumiaji asiigeukie tena serikali pale madhara yatakapo tokea ( Ni kama inakwambia chanjwa at your own risk).

At your own risk maana yake wewe mchanjwaji unatakiwa ufanye maamuzi yako binafsi. Ukiamua kuchanjwa maana yake COVID-19 ni tatizo kubwa worth taking that risk, but is it?

The only way to know if the vaccine works is by testing na sio theories. lets say they tested the vaccines for the past 12 months, but what about for the next 10 years?

Kama hamuoni sense katika kile gwajima anachokisema basi ni ninyi ambao ni wajinga.

Every drug and vaccine we take has negative effects, but we use them because they have been experimented and the negatives of not using them are significant compared to the negatives of using, we can't literally say the same with covid vaccines.
 
Umetudhalilisha sana kwa kutumia jirani zetu(rwanda) Kama kipimo Cha uwezo wetu wa kufikiri.
 
GWAJIMA-Mwenyekiti SUKUMA GANG

Huyu nana elimu dunia, na hata PhD yake haijulikani alipoitoa.

huyu na wapumbavu wengine wamechomwa chanjo 13 toka kwa wamarekani, yaani chanjo zote za utoto , mabusha , Hepatitis B, C na Yellow fever, hawakuwahi kupinga wala kutilia shaka ila hii moja tu ndio wananyanyua mabakuli yao.
Na huyu nae ana elimu duni au uzee?
 
Poor you,ujinga ni kujiona mjanja mbele ya hao unaodhania ni wajinga kwa kuonyesha hisia zao kuhusu wazo ambalo hata wewe si ajabu hujalijua vizuri.

I'm not sorry[emoji57]
Poor you, ujinga ni kumuunga mkono mcheza porno nakuendelea kutukuza uzalendo wa kipuuzi, mpk Ww kufk hapo unachanjo ngap!? Wakitak kukuchukua ht painkillers znatosha sn. Rais anachanjwa chanjo, wewe ni nani ww, bora ukashirik porn na gwaji boi asee

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Serikali ni vizuri kuruhusu matumizi ya chanjo yawepo nchini na uzuri wenyewe ni hiyari ikiwa mtu atataka kuchanja. Kwa kuwa ugonjwa ungali upo basi tuchukuwe tahadhari, huu si wakati wa kulumbana katika jambo hili kwani tuna mambo mengi ya msingi yanahitaji kuyatafakari.

Hakika hakuna mwenye kujua uhalisia wa ugonjwa huu, si wenye kuikubali chanjo au wenye kuipinga chanjo, hivyo basi tubaki na misimamo yetu kwenye akili zetu. Ukiona chanjo itakusaidia basi chanjwa na ukiona chanjo haina mpango basi ikaushiye.
Mkuu katika hayo mambo ya msingi hili la chanjo ni moja wapo sema tu duniani kote hakuna mijadala kwenye hili jambo la chanjo ili tusikilize mawazo tofauti ya pande zote kwa wataalamu, mfano Gwajima tu hapo imekuwa hali hiyo sasa kama watu wakisikia maelezo ya tofauti kutoka madaktari na wataalamu mbalimbali kuhusu corona unadhani hali itakuaje?
 
Ukimweka Gwajima na wafuasi wake pembeni, bahati mbaya wanasayansi wetu hawana nafuu. Hasa hawa wanaonekana mbele ya umma, wanaoongoza NIMR na wizara.
Kutokea
IMG_20210727_123421.jpg

Hadi
 
Mkuu katika hayo mambo ya msingi hili la chanjo ni moja wapo sema tu duniani kote hakuna mijadala kwenye hili jambo la chanjo ili tusikilize mawazo tofauti ya pande zote kwa wataalamu, mfano Gwajima tu hapo imekuwa hali hiyo sasa kama watu wakisikia maelezo ya tofauti kutoka madaktari na wataalamu mbalimbali kuhusu corona unadhani hali itakuaje?
Ni kweli Uhuru Jr. usemavyo huenda jambo la chanjo ni la msingi ndiyo maana serikali likaona watu wanaotaka kuchanjwa na wachanjwe, lakini kulumbana kwa ajili ya chanjo hakuna msingi wowote kwa kuwa ni jambo la hiyari, hivyo nguvu zetu tuelekeze kwenye kuangalia kupata tume mpya huru ya uchaguzi, kupata katiba mpya, uhuru wa mikutano ya siasa, kuboresha hali za wananchi kiuchumi, kuondoa matozo yaliyo kuwa mzigo mkubwa kwa wananchi katika miamala na mengineyo mengi tu.
 
Tangu Serikali iruhusu chanjo ya Corona kuingizwa nchini mjadala mkali umezuka kati ya wapinga chanjo hiyo na wale wanaoikubali, hali hii ni tofauti kabisa na mataifa mengine kama majirani zetu Kenya ua Rwanda. Mpaka sasa wapinga chanjo(anti vaxxers) wakiongozwa na jemedari wao Askofu Gwajima wanaongoza katika mtanange huu na hakuna anayeleweka kwa wakubali chanjo kuanzia January, Kigwangalla mpaka Mbowe n.k.

Kwa kuangalia nyuzi,video, mijadala na michango katika mitandao ya kijamii kuanzia hapa JF na kwingineko, kwa kuwasikiliza watu wengi ninaowafamu (wengi wao wakiwa wasomi wazuri kabisa na washika dini) wapinga chanjo na wakosoaji wake ni wengi kuliko wanaoikubali.

Wapinga chanjo(anti vaxxers) wana hoja na maswali mengi yanayodhihirisha ujinga, upumbavu na uduni wa fikra katika idadi kubwa ya raia nchini(majority).

Zaidi sana wana ujasiri na nguvu kama Simba wa kusimamia ujinga uliowajaa tofauti na wenzao. Hakuna namna ya kuwashauri kuhusu umuhimu wa chanjo, mnaofanya hivyo mnapoteza nguvu na muda wenu tu.

Hali hii inadhihirisha kiwango kikubwa sana cha ujinga katika taifa letu na inamaanisha hata wanaopigania mabadiliko mengine makubwa na muhimu katika nchi hii haitakuwa rahisi kwao kufanikiwa.

Huo ndo uhalisia na ukweli mchungu wa kusikitisha kuhusu taifa hili.Kati ya wale maadui wakubwa watatu, adui ujinga ameiganda nchi kama ruba na hatoki leo wala kesho.

Maskini Tanzania.
Mpuuzi wewe unaetuita wajinga,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom