Imalamawazo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2021
- 1,343
- 3,269
Tumechanjwa chanjo nyingi sana lakini hatukutakiwa kujaza fomu ya ridhaa, kwa nini kwenye hii chanjo tunatakiwa kujaza fomu ya ridhaa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hatutaki chanjo za ushoga chanjo ya corona inabadirisha vinasaba vya mtu nakumfanya aweshogaKama una ushoga ni shoga tu,msisingizie chanjo...Haya ARV hazisababishi ushoga?
Ww mwerevu kachanje, tuache sisi na huo unaouita ujinga nk! Kwani unahasara gani? Chanja sepa, tuache tusioiamini hiyo chanjo majaribio! Ila tusikusikie unalia baadae!Tangu Serikali iruhusu chanjo ya Corona kuingizwa nchini mjadala mkali umezuka kati ya wapinga chanjo hiyo na wale wanaoikubali, hali hii ni tofauti kabisa na mataifa mengine kama majirani zetu Kenya ua Rwanda. Mpaka sasa wapinga chanjo(anti vaxxers) wakiongozwa na jemedari wao Askofu Gwajima wanaongoza katika mtanange huu na hakuna anayeleweka kwa wakubali chanjo kuanzia January, Kigwangalla mpaka Mbowe n.k.
Kwa kuangalia nyuzi,video, mijadala na michango katika mitandao ya kijamii kuanzia hapa JF na kwingineko, kwa kuwasikiliza watu wengi ninaowafamu (wengi wao wakiwa wasomi wazuri kabisa na washika dini) wapinga chanjo na wakosoaji wake ni wengi kuliko wanaoikubali.
Wapinga chanjo(anti vaxxers) wana hoja na maswali mengi yanayodhihirisha ujinga, upumbavu na uduni wa fikra katika idadi kubwa ya raia nchini(majority).
Zaidi sana wana ujasiri na nguvu kama Simba wa kusimamia ujinga uliowajaa tofauti na wenzao. Hakuna namna ya kuwashauri kuhusu umuhimu wa chanjo, mnaofanya hivyo mnapoteza nguvu na muda wenu tu.
Hali hii inadhihirisha kiwango kikubwa sana cha ujinga katika taifa letu na inamaanisha hata wanaopigania mabadiliko mengine makubwa na muhimu katika nchi hii haitakuwa rahisi kwao kufanikiwa.
Huo ndo uhalisia na ukweli mchungu wa kusikitisha kuhusu taifa hili.Kati ya wale maadui wakubwa watatu, adui ujinga ameiganda nchi kama ruba na hatoki leo wala kesho.
Maskini Tanzania.

Ni za majaribio?Wewe kilaza chanjo ya tetenus/pepopunda watu wanachanjwa mara nyingi tu.
Ni za majaribio?Kama una ushoga ni shoga tu,msisingizie chanjo...Haya ARV hazisababishi ushoga?
Hatari sanaHii ndiyo Tanzania watu wanaogopa chanjo kuliko Corona !!!!
Huu ndio ujinga ninaouzungumzia, kama huu utakaoifanya serikali itenge muda na rasilimali kujibu hoja za watu waliobeba vichwa kama mifuko ya kuhifadhia meno badala ya kufikiri.
Hoja za Rais zinatokana na matokeo ya study na majaribio ya kitaalamu yaliyofanywa kuhusu chanjo husika!!!
Kwani Samia ana study yoyote kafanya au ana utaalamu wowote, vivyo hivyo sioni mantiki ya kumkataza Gwajima kuongea, wajibu tu hoja zake maana Samia yeye ni mtupu kabisa kichwani hata mtu anaweza kumsifia kinafiki akafikiria kweli anasifiwa.Hoja za Rais zinatokana na matokeo ya study na majaribio ya kitaalamu yaliyofanywa kuhusu chanjo husika!!!
Sasa wewe unataka Wahuni kama akina Gwajima nao waachwe waendelee kuwalisha watu ujinga kwa kuzingatia study zipi alizofanya?...
Chanjo na dawa zote zinazotumuka Tanzania, majaribio yake yamefanyika Tanzania?!Hayo majaribio yamefanyika Tanzania?
Kama ni ndiyo, hebu naomba ripoti yake.