Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Umenifurahisha kwa sentensi hii;

"....he's stupid like any other person..."

Wewe vipi? Ni binadamu/mtu au mnyama pori fulani?

If you are a "person", this means YOU ARE THE CHIEF EXECUTIVE STUPID, right?
 
Mbona unajitoa ufahamu bado mchana kweupe Tumia logic wanaochuana ni wat wa 2 tu halafu akose 3% kweli vingine angalieni bhna 3% ya kura 29milion ni 870k kweli atakosa kura laki 870 au unaongea tu na ww uonekane umechangia
nguruwe wa lumumba ndo mawazo yao
 
Acha ujinga, angalia awamu nyingine zilikuwa zinafanyaje.
Taratibu ndugu yangu. Sisemi mambo ya jamuhuri ya kufikirika. Dada yangu ni mmojawapo wa hizo awamu za nyuma mkuu. Alipunguzwa kanzini akiwa na umri wa miaka 41. Alianza kupewa posho ya kila mwezi alipofikisha miaka 50, mbayo ilikuwa inakubalika kisheria kipindi hicho.
 
No, Lissu ni bora mara 100 ya Magufuli...
 
Naangalia YouTube live muda huu naona kama pana fujo watu wanarushiana mawe
 
Bora lissu aliingiza dada ake kuliko magu aliye honga kimada nyumba za serikali

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…