Pole pole ndo anaweza kupiga ukunga kabisa utadhani yuko laborSidhani kama unaliangalia kiaskari akiwa public kwa level yake anatakiwa kujizuia.
Siku Kabudi, Polepole, Makonda au hata Bashiru wakitoa machozi hakuna wa kushangaa. Lakini sio senior army officer.
Bodi ya Ngorongoro anaongoza nani?🤣🤣🤣🤣Kuna mtu Huwa hataki cheo akiwa mzima na Afya timamu? 😁😁
Watu wajinga Huwa mnatekwa akili sana na machozi Kwa sababu hamjui sayansi na saikolojia 🤣🤣🤣🤣🤣
Tatizo lenu mnapenda vyeo hata baada ya kustaafuKuna mtu Huwa hataki cheo akiwa mzima na Afya timamu? 😁😁
Watu wajinga Huwa mnatekwa akili sana na machozi Kwa sababu hamjui sayansi na saikolojia 🤣🤣🤣🤣🤣
Nyinyi ndio mlitaka kupindua meza hamkutaka mama kizimkazi asiwe raisi, ndio nakuuliza mlitaka raisi awe nani?Muulize mtoa mada anaesema mtu anajutia kutosikiliza sauti za kupindua meza
Nyinyi ndio mlitaka kupindua meza hamkutaka mama kizimkazi asiwe raisi, ndio nakuuliza mlitaka raisi awe nani?
Yaani ni as if tunaongozaa na utashi wa kundi la watu badala ya legal frame ya nchi...So saaad!Yes ilikuwa interview nzuri sana kwa bahati mbaya sana walioendesha interview hawakuwa na weledi.
Laiti wangalikuwa nao tungejua mambo mengi sana
1. Wakati hali ya Mh Rais ikiwa mbaya kwanini Makamu wa Rais na Waziri mkuu hawakuitwa warudi Dar ?
Kwanini Makamu wa Rais na Waziri mkuu hawakuwepo kusimamia matibabu ya Rais. kwanini walikuwa ziarani?
Ilipofikia mahali Kadinali na Paroko wanaitwa, je, hiyo haikutosha kuwaita viongozi wakuu
2. Kwanini wakuu wa vyombo vya usalama walisimamia jambo hili bila kuwa na support ya Serikali
3. Kwanini Jenerali Mabeyo atafute taratibu ndani ya katiba wakati Mwanasheria mkuu wa serikali yupo?
4. Jenerali Mabeyo ametueleza mambo muhimu sana kuhusu Katiba. Kwamba nchi inaendeshwa bila muongo ndiyo maana kila jambo lilionekana kama ''novelty' na kwamba hakuna anayejua
a. Rais akiwa mahututi nani awepo nani aongoze nini
b. Rais akifariki taratibu gani zifuatwe kutangaza kifo, nani afanye hilo
c. Makamu wa Rais anaapishwaje na vitu kama bendera vinakuwaje
Ukimsikiliza Jenerali ni kama vile tuliongozwa na ''busara' na siyo taratibu ndiyo maana kuna wale waliotaka iwe tofauti kwasababu kulikuwa na mwanya huo. Tunatakiwa tukae chini hili halipaswi kuwa jambo la kubahatisha au kusema 'hatukuwa na experience'' hapana.
JokaKuu
Kifo ni kiboko ya ubabe,ujeuri na Kila kiburi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Karma ilipita naye,Bado Bashite na kundi lake
Hapo kulikuwa na wavunja kabita na wafuata katiba ambao walikuwa wanaongozwa na CDFYaani ni as if tunaongozaa na utashi wa kundi la watu badala ya legal frame ya nchi...So saaad!
Hakika wote tunapitaKifo ni kiboko ya ubabe,ujeuri na Kila kiburi
Sasa kama unalijua Hilo,Kwa nini uone Magufuli as if hakustahili Kufa? Yeye alikuwa anaimiliki kesho? Muwe mnajifunza sio kusingizia wasiohisika na vifo.Usiseme kama vile unaimiliki kesho na Tanzania. Tanzania ni mali ya Mwenyezi Mungu.
Ina maajabu mengi sana hii nchi. Tujifunze kuwa na kiasi
Karma inakuja kwenye Gang lenu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Karma ilipita naye,Bado Bashite na kundi lake
Sawa wewe unatakaje labdaKarma inakuja kwenye Gang lenu
Mkuu please ongezea nyama...inaweza kuwa anaigiza kulia.
..pia habari yote inaweza kuwa ya kutunga.
..hujasikia kwamba Jiwe aliuwawa na genge la Msoga baada ya kuwadukua?
..pia hujasikia kwamba Jiwe alifia nchi jirani ktk hospitali iliyookoa maisha ya jamaa aliyemtumia watu wamuue?
Na kila mtu ataipitia huo mlango !Kifo ni kiboko ya ubabe,ujeuri na Kila kiburi
Kifo ni haki ya kila mwanadamu kwann nyinyi mlikuwa na raisi wenu (mfukoni) baada ya Magufuli kufa. Na kwann hamkutaka kufuata katibaSasa kama unalijua Hilo,Kwa nini uone Magufuli as if hakustahili Kufa? Yeye alikuwa anaimiliki kesho? Muwe mnajifunza sio kusingizia wasiohisika na vifo.
Mtu mgonjwa wa Moyo miaka Mingi still was living a stressful life unategemea nini?
Karma ifanye kazi yake as usualSawa wewe unatakaje labda
Tuliongozwa na 'Busara' za Jenerali Mabeyo, kungeweza kutokea matatizo makubwa sana.Yaani ni as if tunaongozaa na utashi wa kundi la watu badala ya legal frame ya nchi...So saaad!
Hivi wewe unajielewa lakini? Katiba ipi ambayo haikufuatwa? Samia si ndio Rais Kwa mujibu wa Katiba au? Hao wenye Rais wa mfukoni ni kina nani?Kifo ni haki ya kila mwanadamu kwann nyinyi mlikuwa na raisi wenu (mfukoni) baada ya Magufuli kufa. Na kwann hamkutaka kufuata katiba