SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Umeona eh.Aisee
Tukiambiwa hapa kuna wahariri, watu wanashupaza shingo.
Ile post isinge ruhusiwa kabisa kuwepo.... Wameunganisha hapa.
This is absurdity
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eh.Aisee
Ujuaji mwingi..,Na umeamini yote aliyosema? Mbona hakusema kuwa Magufuli alifariki tangu tarehe 12? Mbona hakusema alipelekwa Nairobi na iliposhindikana ndiyo akarudishwa Mzena? Unajua ni kwa nini amesema Magufuli alikuwa anasema nirudisheni nikafie nyumbani? Ni kwa sababu alikuwa Nairobi!
Huyo ni mmoja wa genge linalotumia mianya kama hii kuvumisha na kupotosha taarifa. Kweli halina mahusiano na anajiondoa ufahamu-sawa ni kweli Mama yetu Janet hakuwepo, lakini wakati huo ulikuwa ni wakati wa Janga la corona na tahadhari zote zilikuwa zikizingatiwa.Sidhani hili linahusisha mfumo dume. Nadhani hata ikitokea kwa rais mwanamke huenda itakuwa hivi hivi tu. Ukishakuwa rais unakuwa si property ya familia. Hata sasa bila shaka kuna maamuzi mume wa rais hawezi yafanya juu ya mkewe bali yatafanywa na vyombo vya ulinzi
Mkuu wa majeshi hatoi taarifa za msiba anayetakiwa kupewa taarifa ni katibu mkuu kiongozi(general secretary) huyo ndio anawapa taarifa hao wengine kwa kufuata utaratibu.Nani anatakiwa awe wa kwanza kupewa taarifa? KMK au VP?
Kivipi?Ndugu yake
Kama kuna kitu anajua kwanini kama mwenyekiti wa usalama kitaifa haku take action? Hakuna lingine lililofichika zaidi ya alicho simulia hapo.
Unajua umbali uliopo kati ya South Africa vs Kenya? Unajua wakati anapelekwa alikuwa kwenye hali gani? Ujuaji ni kupinga kitu ambacho hujui. Kuna siku utaujua ukweli. Alirudishwa kutoka Kenya na ndiyo maana alikuwa nasema nurudisheni nikafie nyumbani.Ujuaji mwingi..,
Ashindwe kupelekwa south Africa apelekwe kenya!?
Kwa hiyo tukuamini wewe katika story yako kuliko mabeyo? Ata ya kuitwa kina pengo nayo mabeyo katunga sio? Na ujue jiwe licha ya ukorofi wake lakini alikua mtoto wa mama kweli kwa mama yake na kwa maelezo ya mabeyo alitamani kufia chato sio mikononi kwa doctor wa ushauri tule mara ngapi kwa sikuNa umeamini yote aliyosema? Mbona hakusema kuwa Magufuli alifariki tangu tarehe 12? Mbona hakusema alipelekwa Nairobi na iliposhindikana ndiyo akarudishwa Mzena? Unajua ni kwa nini amesema Magufuli alikuwa anasema nirudisheni nikafie nyumbani? Ni kwa sababu alikuwa Nairobi!
Wewe ni tahira,Unajua umbali uliopo kati ya South Africa vs Kenya? Unajua wakati anapelekwa alikuwa kwenye hali gani? Ujuaji ni kupinga kitu ambacho hujui. Kuna siku utaujua ukweli. Alirudishwa kutoka Kenya na ndiyo maana alikuwa nasema nurudisheni nikafie nyumbani.
Kwanza kabisa ondoa maneno ''kwahiyo tukuamini wewe...'' na weka ''kwa hiyo nikuamini wewe....'' Hii ni kwasababu wewe huwakilishi members wengine. Twende: uamuzi wa kumuamini nani, ni wako mwenyewe. Kama umeona Mabeho amezungumza ukweli kwa asilimia zote basi mwamini yeye. Ila jua kwamba anaweza kuwa amezungumza ukweli nusu au robo. Sikushikii mutu bunduki ila naandika nilichoambiwa na mtu wangu.Kwa hiyo tukuamini wewe katika story yako kuliko mabeyo? Ata ya kuitwa kina pengo nayo mabeyo katunga sio? Na ujue jiwe licha ya ukorofi wake lakini alikua mtoto wa mama kweli kwa mama yake na kwa maelezo ya mabeyo alitamani kufia chato sio mikononi kwa doctor wa ushauri tule mara ngapi kwa siku
Kumbe mtaala wa kujifunzia lazima autunge mwanafunzi mwenyewe?Kwa Tanzania, hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Rais kufia madarakani.
Kwa Marekani, ni marais 8 ambao wamefia wakiwa madarakani.
Marekani wana uzoefu juu ya hilo. Tanzania tumeupata uzoefu huo miaka 3 tu iliyopita.
Tujipe nafasi ya kujifunza kuhusu matukio kama hayo.
Duh 🙄 !Janabi was there to make the job done
Endelea kumwamini mtu wako lakini usiendelee kuaminisha ujinga wako na rafiki yako kwa watu wengine. Vinginevyo njoo na ushahidi kama wa mabeyo ambeye alikuwepo mwanzo mwisho wa tukio. Kwa hiyo interview ya cdf ni watu watatu wengine aliowataja wanaweza kua na story tofauti na yake. Akiwemo janab hao ndo kasema walikuwepo muda woteKwanza kabisa ondoa maneno ''kwahiyo tukuamini wewe...'' na weka ''kwa hiyo nikuamini wewe....'' Hii ni kwasababu wewe huwakilishi members wengine. Twende: uamuzi wa kumuamini nani, ni wako mwenyewe. Kama umeona Mabeho amezungumza ukweli kwa asilimia zote basi mwamini yeye. Ila jua kwamba anaweza kuwa amezungumza ukweli nusu au robo. Sikushikii mutu bunduki ila naandika nilichoambiwa na mtu wangu.
Naweza kuwa mimi ndiye Mabeho nimekuja anonymously! Una ushahidi gani kuwa mimi siyo yeye? Mabeho anaweza kuwa ndiye rafiki aliyeniambia. Una ushahidi kuwa sivyo? Mabeho anaweza kuwa anasema ukweli nusu. Una ushahidi gani yote anayosema ni ukweli? Mabeho anaweza akawa hakuwepo muda wote! Mabeho anaweza kuwa anadanganya kama waziri mkuu alivyodanganya Magufuli ni mzima na anachapa kazi!Endelea kumwamini mtu wako lakini usiendelee kuaminisha ujinga wako na rafiki yako kwa watu wengine. Vinginevyo njoo na ushahidi kama wa mabeyo ambeye alikuwepo mwanzo mwisho wa tukio. Kwa hiyo interview ya cdf ni watu watatu wengine aliowataja wanaweza kua na story tofauti na yake. Akiwemo janab hao ndo kasema walikuwepo muda wote
Ohoo sorry. Kumbe anaitwa Mabeyo? Lakini nadhani ujumbe umeupata pamoja na utaahira wangu. Alipelekwa Nairobi na walitumia uwanja wa Wilson airport. Madaktari wakajaribu lakini hawakufanikiwa, akarudishwa akiwa kwenye hali mbaya na kufia Mzena.Kweli wewe ni tahira unajiuliza na kujijibu mwenyewe.
Umekazana mabeho mabeho,
Hata mabeyo tu kuandika huwezi.
Hizo habari zako za niamini mimi peleka kwenye vijiwe vyako vya kahawa
Ndiyo maana ni vigumu sana kuamini kwamba hawakuwa wakifahamu kinachoendelea.Nafuatilia Clip Mimi...Angejua hali asingeendelea na yake mpaka mwenzake anakata roho...Kama Kuna mambo ya muhimu kumkabidhi ambayo hayakuwa documented je? Kwani Katiba inasemaje? Nani anakuwa Rais kama aliyepo hawezi majukumu? Kwanini basi hakuwepo hapo wakati huyu ameshindwa majukumu?