The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
For what she is doing, akiamka asubuhi phd, akikutana na viongozi wa nje ya nchi phd, akihutubia wananchi phd, akiteua viongozi phd, akisafiri nje phd, akisema chochote phd, wampe phd za kutosha.Apewe PhD for what??
Wewe ni mpumbavu huwezi engage kwenye debate na Mimi,nimekutajia HEET Project hapo unaweza sema imeanza lini?Yani kaniudhi😒😒 hakuna anachoelewa, anafikiri yameanza kujengwa 2023😏😏
phd ndio nini kwanzaFor what she is doing, akiamka asubuhi phd, akikutana na viongozi wa nje ya nchi phd, akihutubia wananchi phd, akiteua viongozi phd, akisafiri nje phd, akisema chochote phd, wampe phd za kutosha.
Tuambie na ufanisi wa watumishi kwenye taasisi za serikali ulivyopanda na wananchi kufurahia huduma zao...mambo hayaendi ndugu, watumishi wame relux hakuna msukumo wa kutoa huduma bora kwa jamii kwa wakati, huduma unazisotea tena kwa gharama na bado hazipatikani kwa wakati kwa sababu hakuna kuwajibishana kama enzi za mwendazake. Kufahamu hayo mambo vizuri nenda kaombe huduma tanesco, dawasa, duwasa nk ndio utajua...full kero kwa wananchiMambo ya kuisha unategemea pesa,nimeshamjibu mwenzio hapo Juu,Mimi najua sifanyi propaganda Wala siandiki mada ambayo Sina facts au ushahidi.
Hiyo HEET Project mojawapo ya component yake ni kuongeza umahiri wa Watumishi wa Vyuo Vikuu.Tuambie na ufanisi wa watumishi kwenye taasisi za serikali ulivyopanda na wananchi kufurahia huduma zao...mambo hayaendi ndugu, watumishi wame relux hakuna msukumo wa kutoa huduma bora kwa jamii kwa wakati, huduma unazisotea tena kwa gharama na bado hazipatikani kwa wakati kwa sababu hakuna kuwajibishana kama enzi za mwendazake. Kufahamu hayo mambo vizuri nenda kaombe huduma tanesco, dawasa, duwasa nk ndio utajua...full kero kwa wananchi
Sawaaa… kwa kuwa huyo binti kiziwi wenu alipokea kuti 2017..Wewe mbona hujasema unachojua? 🤣🤣
Mpumbavu wewe na kizazi chako unaekaa kulamba lamba miguu ya watawala mchiew😏😏Wewe ni mpumbavu huwezi engage kwenye debate na Mimi,nimekutajia HEET Project hapo unaweza sema imeanza lini?
Tafuta wajinga wenzako ndio mjadili .Kuna miradi ya Fedha za ndani za Chuo na Kuna miradi ya Fedha za serikali Kupitia Mkopo wa WB Chini ya program ya HEET.
Sio Mzumbe tuu vyuo vyote na ujenzi umeanza awamu ya Samia 👇👇
View: https://youtu.be/C585IUOZBTo?si=4yfy1b7yjuqpyxz6
Nyumbu huna hoja ,nimekugonga Kwa facts Hadi ukatafuta punguani wenzako ndio mnalishana ujinga huko.Mpumbavu wewe na kizazi chako unaekaa kulamba lamba miguu ya watawala mchiew😏😏
Huo mradi umeanza 2017.. kama hyyo bibi yako alikua raisi basi sawa
Hiyo sio PhD wewe falaYule bibi,anapenda PhD za Bure sijawahi ona duniani🤣🤣
Sasa ataitwa Dr,Dr,Dr,Dr,Dr,Dr Dr Saa100🤣🤣🤣🤣🤣
Kajambe mbele hukoNyumbu huna hoja ,nimekugonga Kwa facts Hadi ukatafuta punguani wenzako ndio mnalishana ujinga huko.
Samia ni next level
Vyuo Vikuu vyote na Taasisi za Elimu ya Juu Kuna miradi.
Mikoa 15 ambayo haikuwa na Vyuo Vikuu kazi inaendelea ,MUHAS Campus Kigoma 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DCqp57MuJ5E/?igsh=d2wydjdueDloajR0
Ni Masters 😂Hiyo sio PhD wewe fala
Shahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi mjinga kama wewe atasema sio PhD!Hiyo sio PhD wewe fala
Sina hakika kama Chuo umefikaShahada ya Udakatri wa Heshima katika Uongozi mjinga kama wewe atasema sio PhD!
Umeishiwa 🤣🤣Kajambe mbele huko