Chuo Kikuu Mzumbe chamtunukia Rais Samia Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi
Yani kaniudhi😒😒 hakuna anachoelewa, anafikiri yameanza kujengwa 2023😏😏
Wewe ni mpumbavu huwezi engage kwenye debate na Mimi,nimekutajia HEET Project hapo unaweza sema imeanza lini?

Tafuta wajinga wenzako ndio mjadili .Kuna miradi ya Fedha za ndani za Chuo na Kuna miradi ya Fedha za serikali Kupitia Mkopo wa WB Chini ya program ya HEET.

Sio Mzumbe tuu vyuo vyote na ujenzi umeanza awamu ya Samia 👇👇

View: https://youtu.be/C585IUOZBTo?si=4yfy1b7yjuqpyxz6
 
Mambo ya kuisha unategemea pesa,nimeshamjibu mwenzio hapo Juu,Mimi najua sifanyi propaganda Wala siandiki mada ambayo Sina facts au ushahidi.
Tuambie na ufanisi wa watumishi kwenye taasisi za serikali ulivyopanda na wananchi kufurahia huduma zao...mambo hayaendi ndugu, watumishi wame relux hakuna msukumo wa kutoa huduma bora kwa jamii kwa wakati, huduma unazisotea tena kwa gharama na bado hazipatikani kwa wakati kwa sababu hakuna kuwajibishana kama enzi za mwendazake. Kufahamu hayo mambo vizuri nenda kaombe huduma tanesco, dawasa, duwasa nk ndio utajua...full kero kwa wananchi
 
Hiyo HEET Project mojawapo ya component yake ni kuongeza umahiri wa Watumishi wa Vyuo Vikuu.

Unasomesha Watumishi maeneo mbalimbali Duniani so haiwezekani ianze mwaka 2021 matokeo upate Leo
 
Habari Wakuu,

Rais Samia anaendelea kujikusanyia Shahada za Udaktari za heshima kutoka vyuo mbalimbali ndani ya nchi na nje ya mipaka.
 
Wewe ni mpumbavu huwezi engage kwenye debate na Mimi,nimekutajia HEET Project hapo unaweza sema imeanza lini?

Tafuta wajinga wenzako ndio mjadili .Kuna miradi ya Fedha za ndani za Chuo na Kuna miradi ya Fedha za serikali Kupitia Mkopo wa WB Chini ya program ya HEET.

Sio Mzumbe tuu vyuo vyote na ujenzi umeanza awamu ya Samia 👇👇

View: https://youtu.be/C585IUOZBTo?si=4yfy1b7yjuqpyxz6

Mpumbavu wewe na kizazi chako unaekaa kulamba lamba miguu ya watawala mchiew😏😏

Huo mradi umeanza 2017.. kama hyyo bibi yako alikua raisi basi sawa
 
Nyumbu huna hoja ,nimekugonga Kwa facts Hadi ukatafuta punguani wenzako ndio mnalishana ujinga huko.

Samia ni next level

Vyuo Vikuu vyote na Taasisi za Elimu ya Juu Kuna miradi.

Mikoa 15 ambayo haikuwa na Vyuo Vikuu kazi inaendelea ,MUHAS Campus Kigoma 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCqp57MuJ5E/?igsh=d2wydjdueDloajR0
 
Ni mjinga wa mwisho serikalini aliyekupa nafasi uliyonayo, otherwise ulitakiwa uwe mchunga ngombe,Tena kijijini.
 
Back
Top Bottom