Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waliitwa huko rwanda na wale ni wanajeshi kamili wezi.. kenge za mtandaoni bongo hawaonekani kwenye kura wala maandamano waoga kweli kweli..
Tutafika huko, maana mmeshatulazimisha vya kutosha. Hata wao huko Congo walishateswa sana enzi za Mobutu, taratibu taratibu wamefika hapo walipo leo.
 
Lissu hana uwezo wa uongozi. Mzee wa KUROPOKA kwenye ubora wake, hapa CHADEMA watakumbuka Freeman Mbowe. Waliingia choo cha mashoga, hawatoboi

Mbowe ndio alileta hiyo no reforms no election. So mlaumu Mbowe.
 
Tutafika huko, maana mmeshatulazimisha vya kutosha. Hata wao huko Congo walishateswa sana enzi za Mobutu, taratibu taratibu wamefika hapo walipo leo.
Nasikitika siku ya kweli tarehe 23 sept 2024 hukuonekana hata kucha ulijificha duga maforoni!
 
Reactions: UCD
Kwa hiyo hao wahariri kumbe wameenda kupokea tu maagizo huko Songea kuhusu no reform, no election! Kweli njaa siyo poa hata kidogo.
Hivi ninyi huwa na akili kweli au mnatumia masaburi? Hawa Wahariri walianza kuongea na Lissu. Hapo ilikuwa sawa, sio? Leo wanaongea na Dk. Nchimbi eti Wana njaa! Akili za wapi hizi?
Kiukweli mna bahati. Mimi ningelikuwa na madaraka NINGELIWAFYEKELEA MBALI!
 
Reactions: UCD
Yaani mpaka hapo CCM wana-prove kuwa wao ndio Tume ya Uchaguzi na wanaweza amua chochote kwenye uchaguzi maana wanajibu hoja zisizowahusu wakati wao wenyewe wanashiriki uchaguzi kama vyama vingine.

Huu ni ushahidi tosha kuwa hakuna Tume Huru ya Uchaguzi na kinachoenda kufanyika ni Uchafuzi na sio Uchaguzi.
 
We unasema β€˜no reforms, no elections’

CCM wanaita β€˜kuvuja kwa pakacha, nafuu kwa mchuuzi’
 
Nasikitika siku ya kweli tarehe 23 sept 2024 hukuonekana hata kucha ulijificha duga maforoni!
Kuliko kukesha mitandaoni mshaurini Mama akubali Reforms zifanywe kwenye mfumo wa Uchaguzi mwambieni hili Taifa halijawahi kumwaga Damu yeye asiwe raisi wa kwanza kuliingiza taifa hili kwenye umwagaji wa Damu.
 
Reactions: UCD
Kuliko kukesha mitandaoni mshaurini Mama akubali Reforms zifanywe kwenye mfumo wa Uchaguzi mwambieni hili Taifa halijawahi kumwaga Damu tete asiwe raisi wa kwanza kuliingiza taifa hili kwenye umwagaji wa Damu.
wewe ni muoga nafunga mjadala nawe...
 
Ningemuona wa maana kama angejibu hoja za Chadema
πŸ’πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸŒ»πŸŒ»πŸŒ»πŸ’πŸŒ»πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸŒ»
 
𝐍𝐈 πŠπŽπ’π€ πŠπ”ππ–π€ πŠπ”πŠπˆπ‹π€π™πˆπŒπˆπ’π‡π€ π‚π‡π€πŒπ€ 𝐂𝐇𝐀 π’πˆπ€π’π€ πŠπ”πˆππ†πˆπ€ πŠπ–π„ππ˜π„ π”π‚π‡π€π†π”π™πˆ - ππ€π‹πŽπ™πˆ πƒπŠπ“. ππ‚π‡πˆπŒππˆ

πŸŽ₯ "Ni kosa kubwa sana kukilazimisha chama cha siasa kuingia kwenye uchaguzi"

"Zimeanza kusikika taarifa za baadhi ya wananchi na wana CCM wakiilazimisha CHADEMA iingie kwenye uchaguzi, ni haki yao kususia na kutoingia kwenye uchaguzi"

"...Na nina hakika rafiki yangu Tundulisu hawatakubali kupoteza haki zote mbili, atleast ya kuchagua wataitumia vizuri"

Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ---- wakati akifungua mkutano maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) unaofanyika leo Aprili 04, 2025 Songea mkoani Ruvuma

#KaziNaUtuTunasongaMbele
 

Attachments

  • VID-20250404-WA0357(2).mp4
    47.7 MB
Sisi Wananchi Tutazuia uchafuzi hautafanyika kama hakuna Reforms kwenye mfumo wa Uchaguzi.
 
Ukimsikia mtu yeyote anasema CHADEMA wamesusia Uchaguzi wa mwaka huu 2025, kaa mbali nae na muogope kama ukoma.

Ni wapi CHADEMA wametoa kauli ya kususia uchaguzi? Tusiwawekee CHADEMA maneno ambayo hawajayasema.
 
Sasa utamfyekelea mbali nani wewe Mtoto wa Shule tu! Watoto kama nyinyi huwa tunawacharaza tu bakora za kwenye makalio, ili muwe na akili timamu.

Kwa taarifa yako sasa hao Wahariri wapo huko Songea kwenye mkutano wao wa wahariri! Na ndiyo wameona wamualike Katibu mkuu na pia mgombea mwenza wa ccm kuwa mgeni rasmi kwenye huo mkutano wao! Na hawapo kwenye press kama waliyofanya na Lissu! Kama ingekuwa ni press ya kawaida ya mahojiano, hakuna mtu angelalamika hapa.
 
Tume hii ya sasa ni Tume ya WIZI wa KURA kama haitafanyiwa Reforms basi watapopolewa mawe kama wezi wengine.

Na maboksi pia yatapigwa kiberiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…