ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya kuwalazimisha kushiriki.
Amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri, leo Aprili 4, 2025.
Huu ndo uanaume sasa!! Huo ushoga CHADEMA wapeleke UBELGIJI shwainiiiKatibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya kuwalazimisha kushiriki.
Amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri, leo Aprili 4, 2025.
Hoja zimejibiwa na waachademaNingemuona wa maana kama angejibu hoja za Chadema
Yeye ndio kaandaa huo mkutano wa waandishi wa habari. Toka lini waandishi wa habari wakafanyia mkutano wao Songea? Hayo anayoongea ndio ajenda ya hicho kikao cha hao waandishi wa habari.
Paskali Mayalla
NO REFORM NO ELECTIONHuu ndo uanaume sasa!! Huo ushoga CHADEMA wapeleke UBELGIJI shwainiii
Ndiyo maana Marehemu Ben Mkapa aliwahi kusema kuwa Tanzania hakuna waandishi wa habari bali kuna maripota tu.Kwa hiyo hao wahariri kumbe wameenda kupokea tu maagizo huko Songea kuhusu no reform, no election! Kweli njaa siyo poa hata kidogo.
Ukikuta mtu anasapoti maandamano ya "kukinukisha" mara nyingi huyo mtu hana majukumu makubwa, au hana ajira au hana familia.
Kama Tundu Lissu anajali sana na kuwapenda WaTanzania, angejua wakati uliopita sio bara sio visiwani kote damu zilimwagika na haikusaidia, angejua suala ni maridhiano, ni mazungumzo, ni ushawishi.
Sasa unataka kukinukisha, alafu iweje? Wafia Ccm nao una hakika watatulia?
Mimi nimewahi kuwepo kwenye maandamano, najua nachoongelea, nchi hii tunahitaji Amani kwanza kabla ya yote, na ikiwa tunahitaji ustawi wa uchumi na ustawi wa amani tunapaswa kuuzingatia pia.
Hakuna nchi imeendelea katikati ya machafuko.
Subiri!Sasa utamfyekelea mbali nani wewe Mtoto wa Shule tu! Watoto kama nyinyi huwa tunawacharaza tu bakora za kwenye makalio, ili muwe na akili timamu.
Kwa taarifa yako sasa hao Wahariri wapo huko Songea kwenye mkutano wao wa wahariri! Na ndiyo wameona wamualike Katibu mkuu na pia mgombea mwenza wa ccm kuwa mgeni rasmi kwenye huo mkutano wao! Na hawapo kwenye press kama waliyofanya na Lissu! Kama ingekuwa ni press ya kawaida ya mahojiano, hakuna mtu angelalamika hapa.
Siku nyingine ujitahidi kufikiri kabla ya kutoa haya matapishi yako. Ok? Mifi wewe.
Baadaye Watawapataje Sasa COVID 19
Kukidhi Matakwa Ama Wataokoteza Wapinzani Wowote
Kwa mujibu wa yule kahaba wa Nairobi?? πππNO REFORM NO ELECTION
mahaba niliyonayo kwa huyu kahaba we acha tu!Kwa mujibu wa yule kahaba wa Nairobi?? πππ
Usije pigwa dildomahaba niliyonayo kwa huyu kahaba we acha tu!
Huyu kilichomtoa nje akimpinga mwenyekiti wake 2015 ni nini? Mbona hakutoka nje walipompendekeza Samia na yeye kuwa wagombea urais kupitia mkutano mkuu, wakati taratibu za chama zinataka wagombea waanzie kamati, halmashauri kuu na ndipo mkutano mkuu. Aliaminika sana kama mtu mwenye misimamo kumbe naye ni njaa tupu.Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya kuwalazimisha kushiriki.
Amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri, leo Aprili 4, 2025.
Mngeanzia lungalunga kabisa.Na safari hii tuna mwaga ulinzi jasini....
Do you know that the medicine of male erectile dysfunction is reformee pills. No erection without reformee for males with erectile dysfunction.No reform no election
Duh π ! π³Polisi wa CCM hawafiki laki moja sisi wananchi millioni hamsini hawatatuweza.
NO REFORMS NO ELECTION
Duh π ! π³ !Yes, the medicine of erectile dysfunction is reformee pills. No erection without reformee for males with erectile dysfunction.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Emmanuel Nchimbi amesema hakuna mtu anayeweza kuzuia Uchaguzi Mkuu bila kujali nafasi yake, na kuongeza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kina haki ya kutoshiriki Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kuwa suala hilo ni hiyari kwao na hakuna haja ya kuwalazimisha kushiriki.
Amesema hayo wakati akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wahariri, leo Aprili 4, 2025.
Utarudi kwenu mduruma kumbe ndio maana unang'ang'ania hupigi kura!Mngeanzia lungalunga kabisa.