Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

Nadhani siku CCM wakiamua kuigiza mahakama kuifuta CHADEMA ndio siku watakabiliana na siasa ngumu zaidi.
Siasa za vyama zitakufa rasmi nchi itashuhudia uhaini ule wenyewe sio huu wakutengenezwa na akina Katuga.
Siasa zitahamia msituni, kama hamkujifunza Oktoba 29 basi jaribuni hii muone
 
Yaani amekuwa ni kama AI, hakuna analo fanya la maana, siku moja watamgeuza " mind your back, kwa hisani ya Dudubaya"...
msipotoshane ndugu zangu, mimi sio AI, mimi ni mTanzania wa kawaida kama wengine tu.

Na,
ikiwa hamna mawazo mapya wala fikra mbadala, bora zaidi ya hoja mahususi mezani, ni vizuri kukaa kimya tu kuliko kupigana kamba namna hiyo, tena hadharani kabisa.


inasikitisha sana na kwakweli inafedhehesha sana aise
 
kufutwa kwa chadema kunaweza kufanyika tu kwa mujibu wa sheria za vyama vya siasa gentleman na sio vinginevyo.

huna haja ya porojo na mihemko ya pata potea.
chadema inaweza kufutwa kwa mujibu wa sheria, and you have completely nothing you can do if that happens.
 
If wishes were horses......
 
acha porojo jikite kwenye mada gentleman na itapendeza zaidi
PUNGUZA Sasa ungese nitakutaja majina yako ma3 haijalishi naweza kupigwa ban hata ya milele acha ujinga na sisitiza acha ujinga tunakujua
 
PUNGUZA Sasa ungese nitakutaja majina yako ma3 haijalishi naweza kupigwa ban hata ya milele acha ujinga na sisitiza acha ujinga tunakujua
Gentleman,
majina yangu ni manne,
na,
in fact,
yapo in public domain kwasababu ya public interests na yanajulikana kitaifa na kimataifa, unless unataka kuyatumia kufanyia ushirikina
 
Hakiwezi kufutwaa kabisa na usahauu

Na hatuwezi kufikiria ndoto za bunuasi ambazo hazipo kiuhalisia .
na hata kama hilo litakuja CDM wengi watakuwa wanaharakatii. Tuu kuliko kuwa chama chochoto ulichotaja
 
Hakiwezi kufutwaa kabisa na usahauu

Na hatuwezi kufikiria ndoto za bunuasi ambazo hazipo kiuhalosia .
na hata kama hilo litakuja CDM wengi watakuwa wanaharakatii. Tuu kuiko kuwa chama chochoto ulichotaja
ok sawa,
tuliza mihemko sasa na urilax, right?
 
Gentleman,
majina yangu ni manne,
na,
in fact,
yapo in public domain kwasababu ya public interests na yanajulikana kitaifa na kimataifa, unless unataka kuyatumia kufanyia ushirikina
Wewe jitekenye na kujitoa kidole Kisha unanusa pengine unataka kuniponza kweli nipigwe ban
 
Ifutwe imekuwa ubao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…