Endapo chadema itafutwa, unadhani wanachama wake wengi watakaokua wapweke na yatima kisiasa, watajiunga na chama gani cha siasa mbadala wa chadema?

ok sawa,
tuliza mihemko sasa na urilax, right?
Shida inayokusumbua ni ugonjwa wa.akili na unapaswa kutibiwa

Uache kuamini kwamba watu wote walio kinyume na mtazamo wenu hasa CCM wanamihemikoo
Ukiweza kujitibu hili tatizo unaweza kuwa mtuu bora kabisa.

Nikukumbushe sio wote wanokosoa CCM HUMU NDANI NI CDM.

MIMI NI CCM TENA KADA KULIKO WEWE NA TENA NAKULA NA WENYE MAMLAKA KWA HIYO
HIVYO TUNAONA MWENENDO WA CCM WA KIUONEVU KWA WANACHI WA NCHI HII SIO SAWAA

NA HATA WEWE UNALIJUA HILI

TUKO TUU KWENYE MFUMO KWASABABU TUU VIAPO VYETU LKN
 
gentleman,
naona umetoa maoni na mtazamo wako vizuri tu but ghafla umechange na kuanza kujipiga kifua na kujimwambafai.

hiyo ndio itasaidia au kubadili nini sasa kwenye mjadala huu huru?
Ikiwa una mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hoja au komenti fulani humu jukwaani, changia tu regardless ya chama cha siasa au mrengo wako wa kisiasa.

Binafsi sihitaji kujua ikiwa wewe au mdau mwingine yeyote yule wa Jf ni wa chama fulani, dini fulani au kabila fulani. Ni uhuru wake kua kokote anakopenda kua.

Nadhani hoja mahususi kuhusu CCM nitaweka jukwaani kwa wakati wake muafaka ila kwasasa ni muhimu zaidi kujikita kwenye iliyoko mezani bila kujipiga kifua wala kujimwambafai na itapendeza zaidi 🐒
 
Man maandiko yako marefu
Hayana tija

Na hoja huzaa hoja nyingine

Hoja nyingine ukizaliwa usipindishe maneno na usiwe bubu

Jibu tuu hoja

Kama wanao sema kazi na utuu alafu wamemfyeka baba wa watu Nchimbi wakati wamemleta wenyewew
 
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani gentleman,
huna haja ya kubabaika au kujaribu kupindisha mjadala kwa porojo useless ambazo hazina uhusiano wowote na hoja mahususi mezani na itapendeza zaidi 🐒
 
Yaani unavyoandika utafikili hivyo vyombo vya dola viko vingi kuliko hao wanachama wa chadema
 
Yaani unavyoandika utafikili hivyo vyombo vya dola viko vingi kuliko hao wanachama wa chadema
Gentleman,,
wewe binafsi utahamia na kujiunga chama kipi cha siasa miongoni mwa nilivyoorodhesha kwenye hoja mahususi mezani?🐒
 
Miaka ya zamani sana niliamini vikundi kama Boko haram, Al shabab, au M23 nk ni vikundi vya kigaidi, kumbe siyo vikundi vya kugaidi, wale ni wapigania uhuru katika nchi zao, ni wananchi ambao waliamua kusimama dhidi ya mifumo mibovu katika nchi yao.
Kama CCM wakitaka vikundi kama hivyo vianzishwe basi wafute jukwaa la wananchi kusemea. huo ndiyo utakuwa mwanzo wa vikundi vya waasi ndani ya nchi
 
yaani mpigania uhuru anajificha porini gentleman?
 
Kazi yako ni ngumu sana aisee
ndugu mdau,
kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, haijawahi kua kazi ngumu,
kwasababu inawezeshwa na Neema na Baraka za Mungu tu. Na haihitaji malipo kazi hii ya kizalendo katika sayansi ya siasa 🐒
 
Una kazi sana ya ku grow hakuna kitu hapa
 
chadema ni mpango wa Mungu hakuna wa kuifuta.atakayejaribu kuifuta atafutika yeye.soon atafutika hilo limeshaandikwa tayari huyo anayetaka kuifuta atafutika yeye na wanaopanga kumuua lisu watakufa wao.
 
Una kazi sana ya ku grow hakuna kitu hapa
in fact ni hatua muhimu hiyo,
sio ya kupuuza hata kidogo, unless you don't have goals, objectives or target, politically speaking 🐒
 
chadema ni mpango wa Mungu hakuna wa kuifuta.atakayejaribu kuifuta atafutika yeye.soon atafutika hilo limeshaandikwa tayari huyo anayetaka kuifuta atafutika yeye na wanaopanga kumuua lisu watakufa wao.
ok.
sasa si muifanye kua kanisa tu itakapofutwa
 
in fact ni hatua muhimu hiyo,
sio ya kupuuza hata kidogo, unless you don't have goals, objectives or target, politically speaking 🐒
Narudia hakuna kitu
Huu ni ukweli mchungu
Jenga hoja upate wachangiaji wenye hoja mbali na hapo utapost na hakuna mtu atakua interested
 
ok.
sasa si muifanye kua kanisa tu itakapofutwa
hakuna wa kuifuta Chadema imewekwa na Mungu ndo maana na uovu wote mnaofanya bado ipo imara.na hao mabwana zako kina samuya watakufa wao kwa sababu ya laana wataacha chadema.
 
Kumbukeni mnaruhusiwa kuanzisha chama chenu kipya cha walugaluga na waporipori
maana mmevamia chadema na kuia kabisa kuwa chama cha wanaharakati uchwara, kaanzisheni cha kwenu
mbona zitto alianzisha act baada ya kutoka chadema kwa kutofautiana na Mbowe, iweje nyinyi washamba mnang'gng'ania
 
Narudia hakuna kitu
Huu ni ukweli mchungu
Jenga hoja upate wachangiaji wenye hoja mbali na hapo utapost na hakuna mtu atakua interested
ikiwa huna interest au uko pointless towards the motion,
then, just relax au kacheki hoja zenye interest kwako na itapendeza zaidi na unaweza kujifunza na kufurahia zaidi..

In fact,
there two constants in politics,
interests and betrayal.

As long as your interests are convaging with mine, we can work together as team politically. But if they are not convaging, it means we can not work together and from there, betrayal can take place, okay?.
That's how politics works, right?

so,
if you are not interested with my political articles, then honestly you can go and look for the articles you are interested with.
okay ndugu mdau?
I'm sorry for saying that light truth 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…